Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Madame achana na ngabu hujamjuaga kua ana kichaa chake huyu msukuma?Nyani Ngabu kwanini lakini umekazana kutoitakia mema hii party?
Wewe sio mgeni humu Jf na party zote 3 zilizopita ulizisikia na wala hakuna vita au kitu kibaya kilichotokea.
Haya maneno yako unayoleta ya sijui nani kafanya nini, sijui ikiisha salama bila mtu kupigana utashangaa,
Why ugomvi na huyo mtu mmoja ukazane kutoa kasoro party yote.
Sisi tumekubali kubeba lawama, itokee vita, vurugu, fumanizi, magombano sijui mabomu....bii mizigo yooote tutaibeba sisi ila suala la kusema sijui kutatokea nini na nini naomba uachane nazo.
Baraka za kufanya Party tumepewa na Jamii media chini yake kaka Maxence Melo na dada AshaDii.
Samahani, tunaomba tufanye party salama na tumalize salama.
Changamoto zipo kwa kila jambo si hapa tu mpaka katika maisha yetu halisi
Tunakubali kubeba lawama.
Ila naomba punguza vitisho ambavyo havina tija katika kuelekea kuadhimisha hii party.
Asante.
Party itafanyika salama mwaya tena na atanilipia ngoja nimshike shati