Aiseee. Huu ni ule wakati wa kuagiza zile perfume og na Mimi ninukie sasaNimelipia JF party ila nimegundua tarehe hio nitakuwa vacation London kwahio anaehitaji naweza kumpa hio nafasi ahudhurie badala yangu.
Kweli umetupa mdumange remixAsante kwa mualiko, hii party ikihitaji nihudhurie basi nije mahsusi kucheza huo mdumange ukiisha nasepa. Umenikumbusha mzee Hoza na mdumange wake....
Kina mama na wandeee aaaeeeh aaaeeh shika ungo, kina baba na wabwangaaa aaaeeh aaaeeh shida mchii....
Ukiinamaa wasegeelaaa mazii
Segele na duummpa shika ungooo
Kina baba wasukuma mchii
Segele na duummpa shika ungoo
(It's Kasie 's mdumange remix hehehe)
Raha ya mdumange, mduara wake mbanane halafu ile mna swing kulia na kushoto huku mmeinama kidogo wamama kiuno unakielekeza nyuma wababa kiuno unakielekeza kwa wa mbele yako..... hatariii
Aiseee. Huu ni ule wakati wa kuagiza zile perfume og na Mimi ninukie sasa
Yako naikataaje lakini NN? Si unajua waswahili MTU akisafiri lazima tuagizie tena..Wewe si nakuletea mimi...
Kumbe yangu huitaki eeh?
Picha uamuzi wako mkuuKama kutakuwa hakuna mapicha picha nitakuja
Mwingine nani kachomoa? Itafanyika na itaisha salama inshallahNaona wewe ni mtu wa pili kuchomoa.
Utakuwa safarini kweli au?
Ila hii party hii....ikifanyika kweli na ikiisha salama bila mtu kuumia nitashangaa sana.
Hopefully waliosema wataenda ni wataenda kweli.
I’ll be there 100%.
Umepata. You are such a darling.Aiseee. Huu ni ule wakati wa kuagiza zile perfume og na Mimi ninukie sasa
Thank you dear..Umepata. You are such a darling.
Seems like yours is long overdueWewe si nakuletea mimi...
Kumbe yangu huitaki eeh?
nenda na yule dada anayemlamba makalio bashite daily...yule pro ccmBado natafuta partner wa kwenda naye, anyone interested?
Seems like yours is long overdue
nenda na yule dada anayemlamba makalio bashite daily...yule pro ccm
Kweli umetupa mdumange remix
Nitakuwa kamati ya Ulinzi.Aisee!
Tayari naona watu mshaanza vita kabla hata party kufanyika!
Taratibu wajameni. Walau msubiri siku ya siku ifike...
Ila mniombee na mimi siku hiyo nisiue mtu maana naona kinuka mkojo mmoja keshatoa mchango.
I can't wait to re-arrange her ugly face....bout that life for real.
Sawa sawaJAMANI MUWE MNAIPITIA THREAD YA PARTY KILA MARA.
HUWA KUNAKUWA NA MAMBO TUMEONGEZA.
AU MENGINE TUMEPUNGUZA.
HUWA TUNAI-EDIT ILI KUWEKA KILA KITU SAWA.
HATUTAKI KUTINDINGANYA MAMBO SIKU HIYO.
CHAAAAAA....!!!!!!
THUBUTUUUUUU!!!!!
Mheshimiwa General Mangi@Mzigua90
Naomba nimlipie huyu dada!!
@sumbaiWakati unaandika hiyo comment ulikuwa NMB ATM ,kwenye folen. utakuwa umenielewa cute.