JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Asante kwa mualiko, hii party ikihitaji nihudhurie basi nije mahsusi kucheza huo mdumange ukiisha nasepa. Umenikumbusha mzee Hoza na mdumange wake....
Kina mama na wandeee aaaeeeh aaaeeh shika ungo, kina baba na wabwangaaa aaaeeh aaaeeh shida mchii....
Ukiinamaa wasegeelaaa mazii
Segele na duummpa shika ungooo
Kina baba wasukuma mchii
Segele na duummpa shika ungoo
(It's Kasie 's mdumange remix hehehe)

Raha ya mdumange, mduara wake mbanane halafu ile mna swing kulia na kushoto huku mmeinama kidogo wamama kiuno unakielekeza nyuma wababa kiuno unakielekeza kwa wa mbele yako..... hatariii
Kweli umetupa mdumange remix
 
Aisee!

Tayari naona watu mshaanza vita kabla hata party kufanyika!

Taratibu wajameni. Walau msubiri siku ya siku ifike...

Ila mniombee na mimi siku hiyo nisiue mtu maana naona kinuka mkojo mmoja keshatoa mchango.

I can't wait to re-arrange her ugly face....bout that life for real.
Nitakuwa kamati ya Ulinzi.
 
Back
Top Bottom