JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Hii party ni jambo zuri ila tuwe makini. Mskute na watu wasiojulikana wata jitokeza kuwakamata target yao kwenye hio party. Nimewaza kiusalama zaidi, otherwise all the best and enjoy mtakaoenda

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Hebu waza kwa kutumia kichwa.
Hatujakamatwa ya 1
Hatujakamatwa ya 2
Hatujakamatwa ya 3
Tuje kukamatwa hii ya 4?
Acheni mikwara yenu.

Mie mwenyewe usalama.
Nalinda penzi langu.
We kama unataka kuja njoo...mengine ni mengineyo tu
 
Hii party ni jambo zuri ila tuwe makini. Mskute na watu wasiojulikana wata jitokeza kuwakamata target yao kwenye hio party. Nimewaza kiusalama zaidi, otherwise all the best and enjoy mtakaoenda

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Labda waje kutukamata wote tulio kwenye party ila kwa mmoja mmoja watajuaje ID zao sasa?
 
Back
Top Bottom