Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
We na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We na nani?
Chukua tiketi nitakuwa nimerudi Honey asante
Unani..... kweli???Doh nisamehe jamani
Chukua tiketi nitakuwa nimerudi Honey asante
Mimi nitakuja kama nitalipiwaHabari wana Jf kwa ujumla, nadhani mko salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu.
Kama ilivyokawaida ya wanajumuiya iishiyo pamoja kunakuwa na mambo ya kukutana, kufahamiana na kufanya ki-tafrija kidogo.
Hivyo basi kama ilivyo kawaida ya wana Jf, tumeamua kukutana, kupiga story mbili tatu, kula, kunywa na kucheza pamoja kama wadau walivyotaka. Maana wameona kimya na party hakuna tena kama ilivyo desturi ya hapa Jf.
Hivyo basi, kutakuwa na JAMII FORUMS GET TOGETHER PARTY hapo mwezi wa kumi na mbili (December).
Na vile vile tumependekeza mambo yafuatayo katika kuelekea siku hiyo ya party yetu.
Mambo yenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Eneo la kukutania kwa ajili ya party ni pale AFRICAN HOUSE LOUNGE iliyopo pale block 41 Kinondoni karibu na Best Bite Namanga.
Hapa tutachagua kama tutakaa sehemu ya garden au ndani ya kiukumbi amazing.
2. Mchango ambao tumependekeza ni Tsh 30,000/= ambao utajumuisha vinywaji, ukumbi na chakula.
3. Michango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba ifuatayo;
Tigo pesa.
0716-394882 jina May Fidellis.
Ukishatuma mchango wako, njoo pm kwa Mzigua90 au kwa Madame B ukiwa na screenshot ya message ya pesa uliyotuma ili upate namba ya uthibitisho wa kuingilia ukumbini siku hiyo.
●Pili, Pia unaweza kunitext kwa message ya kawaida kwenda kwenye namba hiyo hapo juu ili uweze kuniambia jina lako ulilotuma pesa na ID yako unayotumia.
●Tatu, pia unaweza kutumia njia ya tatu ya kutuma pesa kwa ambao hawatapenda wajulikane ID zao.
Fanya hivi:
Tuma pesa kwa namba hiyo, ukishamaliza kutuma, njoo kwa text ya kawaida useme kuwa umetuma pesa na limetokea jina flani halisi au la wakala uliyetumia kutuma pesa na wala haina haja ya kutaja ID
Tukihakikisha ni kweli unawekwa kwa list.
Maana si wote watapenda tufahamu ID zao halisi hapa Jf.
4. Dress code ya siku hiyo ni:
WANAUME/WANAWAKE
●Tshirt/shati nyeupe au nyeusi.
●Jeans suruali ya bluu/nyeusi
●Jeans kaptura ya bluu/nyeusi
Pia kwa wadada wasioweza kuvaa suruali au kaptura wavae black dress (dress to impress)
Tupendeze jamani....
Party ya kwetu hii....
5. Tarehe ya party ni tarehe 15/12/2018 siku ya Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka usiku sana.
6. Unaweza kuanza kutuma mchango wako kuanzia sasa hivi.
Na mwisho wa kupokea mchango wako ni tarehe 08/12/2018 saa kumi na mbili jioni.
7. Majina ya waliochangia party yatawekwa hapa jukwaani katika updates zetu.
Kwa ambao hamtapenda kuwekwa majina yenu hadharani,hatutayaweka.
Natumaini wote tutakuwa tumeelewana kuhusu ujio wa hii party yetu ya JF.
Tunaomba tuhudhurie kwa wingi ili tuweze kufahamiana na kupiga story mbili tatu.
NB:
Ukumbi unachukua watu 70 tu.
Hivo kuwahi kwako kutoa... ndipo urahisi wako wa kupata nafasi ya kuhudhuria party hii kabambeeeee!!!!
KARIBUNI.....KARIBUNI!!!!View attachment 866450View attachment 866451View attachment 866452View attachment 866453View attachment 866454View attachment 866455View attachment 866456View attachment 866457View attachment 866458View attachment 866459View attachment 866460View attachment 866461
HALAFU NAOMBA TUSIKILIZANE JAMANI.
TUMEFANYA PARTY MARA 3 HAPA JF...NA WAANDAAJI TULIKUWA SISI WENYEWE.
KAMA KUNA MTU TULIMDHULUMU/KUMLIA PESA YAKE KWA PARTY ZILE ZILIZOPITA AJE NA USHAHIDI HAPA JUKWAANI.
MAANA NAONA WENGINE MNAONGEA UTUMBO NA UJUAJI MWINGI.
KAMA WEWE HUTAKI KUHUDHURIA, PITA KUSHOTO.
USILETE UJUAJI HAPA.
NA KWA TAARIFA YENU, WAHUDHURIAJI WATAKUJA TU.
HALAFU SIO KILA KITU NI LAZIMA USHIRIKI.
KAMA HUTAKI...WAACHIE WANAOTAKA WAJE.
WEWE CHANGIA MADA, KOSOA, LETA UJUAJI....ILA AT THE END....PARTY ITAFANYIKA TU.
WENYE PESA ZAO...WATAKUJA.
WENYE UHITAJI....WATAKUJA.
KAKA/DADA PITA KUSHOTO.
MNAKERA
UPDATES YA WALIOTOA:
Mzigua90
amu
Madame B
Barida HoneyImethibitishwa kwa utekelezaji Honey. Usijali
Mimi nishatuma tayari, natafuta mdada mmoja nimlipie na yeyeMkuu hauna tofauti na Wale Waganga wanaotutumia namba zao kwenye simu zetu ili tuwatumie hela japo hatuwajui, hakuna mtu atafanya ivo.
Nashauri hiyo Party ifanyike kwenye eneo la wazi mfano Coco. Baada ya hapo watu kama watataka kwenda Ukumbini, watakwenda kwa gharama zao
Nini tena Baba[emoji848]Unani..... kweli???
Mmenichekesha jamani ,,,nawatakia kila la kheri muwe na sherehe nzuri ,mi nitakuwa na party yangu na G serengeti na zenjiNa kinachochosha ni kule kuvuka Maji tu.
G karudi?...mpe hiMmenichekesha jamani ,,,nawatakia kila la kheri muwe na sherehe nzuri ,mi nitakuwa na party yangu na G serengeti na zenji
Khaaaa!!!Mimi nitakuja kama nitalipiwa
Nitakuja na Marafikizangu 6 wote ni Mabikra
PS:
Wanabikra zote 6
Ukilipa nitumie sms kwa pm nikupe muongozo wa pakupeleka tiketi utalipwa helayako ... tiketi ziwe 7
Nipo London naskiliza Kesi Ya Accassia Mining
mama sabrina mbebe G wako mnipitie na mm twende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hasa Raynavero msiruhusu wabebe wanywee kabisaaNtawawekea kreti lao na sharti hamna kubeba
Unataka kwenda Serengeti?mama sabrina mbebe G wako mnipitie na mm twende