Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ntamwambia mwenye eneo atuwekee hiyo au tutatafuta wenyewe twende nayo maana garden ni nadra sana kukosa mbuHahahaha kuna zile zipo kama udi zinamarashi mazuri huku mbu wanadondoka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntamwambia mwenye eneo atuwekee hiyo au tutatafuta wenyewe twende nayo maana garden ni nadra sana kukosa mbuHahahaha kuna zile zipo kama udi zinamarashi mazuri huku mbu wanadondoka tu
[emoji1] nilimaanisha visiwani. Mji KongweMsije mtaingia na mapanga ukumbini!!!
Mara nimekua Gladness jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekupatia picha utakavyotokelezea mkuumtamuona kijana kavalia jeans ya blue na T-shirt stripped black n white mkononi audemars piguet, kiatu pollo.
Wewe salary slip ukimuona unamjua?Hii sherehe imeandaliwa kwa hisani ya watu wasiojulikana ili kujaribu kuwakata kina salary slip & co.
Kaeni huko huko...mcheze miziki yenu![emoji1] nilimaanisha visiwani. Mji Kongwe
Dresa code mkuu. Sasa hizo siku 5 unaenda honeymoon au?Hii kwangu si ya kukosa naona kama siku zinaganda vile.
Kwanini mavazi yawe kama sare?
Vipi usalama wetu kwa wale wasiojulikana?
Ngoja nianze kutunga tricks za kuaga kazini kwa siku 5 zitatosha.
Sawa mkuu. Tulichukua hapo kutokana na experience ya ushiriki wa watu kwa party zilizopita. Ikitokea watu wakawa wengi tutatafuta plan BKwanini mmechagua ukumbi unao chukua idadi ya watu wachache sana hivyo, napendekeza kuwa muweke akiba ya ukumbi mwingine ili kabla ya tarehe 8 endapo watu watakuwa zaidi ya 70 mtabadilisha venue kwenda kwenye ukumbi mwingine isiwe first come first served NO.
Kila mtu na maisha yake wewe elf30 kwako nyingi mwingine pesa ya sodaa!!hata kuhongi haitoshii30000 Tz shlng..........afu kuna watu wanasapotiii apa .....maisha yao magumu kichiz anavyo typ...tuu unajuaa tu uyu hali mbaya ..usiige watu ..bora iyo 30000 uanze biashara au upikee msos wakutosha ule ushilikishe mashikaji wa mtaa kwenuu.....wanaoleta mambo haya wengine wanafanya kazi mwisho wa mwezii ...anaingiza pesa 30 kwake inakuwa ndogo... ...FiKiRiA kwaNza mkitapeliwa mnaanza kuloganaa ..shaur zenu
Na ndio maana sio lazima ni MTU na mfuko wake mkuu.30000 Tz shlng..........afu kuna watu wanasapotiii apa .....maisha yao magumu kichiz anavyo typ...tuu unajuaa tu uyu hali mbaya ..usiige watu ..bora iyo 30000 uanze biashara au upikee msos wakutosha ule ushilikishe mashikaji wa mtaa kwenuu.....wanaoleta mambo haya wengine wanafanya kazi mwisho wa mwezii ...anaingiza pesa 30 kwake inakuwa ndogo... ...FiKiRiA kwaNza mkitapeliwa mnaanza kuloganaa ..shaur zenu
TawileeeKila mtu na maisha yake wewe elf30 kwako nyingi mwingine pesa ya sodaa!!hata kuhongi haitoshii
Humu kila mtu above 18 so ushauri km huu wapelekee wanafunzi kwenye school bash!sorry to offend uuu!!!
Halafu kingine, wanaume wanao jua kuwa wao ni ma BIGI wawe ma sponsor kwenye party wajitokeze kwenye kwa ajili ya kuwa support kina dada ambao wanaona wanafaa kuwepo itatusaidia sana kwenye uhudhuriaji.Sawa mkuu. Tulichukua hapo kutokana na experience ya ushiriki wa watu kwa party zilizopita. Ikitokea watu wakawa wengi tutatafuta plan B
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani watu wana dhambi!!!Dresa code mkuu. Sasa hizo siku 5 unaenda honeymoon au?
Natokea mbali mno kwa usafiri wa bus.Dresa code mkuu. Sasa hizo siku 5 unaenda honeymoon au?
Hapo sasa!!!Na ndio maana sio lazima ni MTU na mfuko wake mkuu.
Hapo umenena maana party bila wadada hainogi etiii. Tuanze na big papa wewe unaweza ukanilipia mimi na Raynavero na mumuHalafu kingine, wanaume wanao jua kuwa wao ni ma BIGI wawe ma sponsor kwenye party wajitokeze kwenye kwa ajili ya kuwa support kina dada ambao wanaona wanafaa kuwepo itatusaidia sana kwenye uhudhuriaji.