JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

ukhuty na Hajar
Chagueni vya kuvaa.
Mshindwe nyie sasa
20180915_111838.jpg
Hapa mnapigilia jeans na hijab zenu juu



20180915_111900.jpg
Hapa sasa kitu cha jeans kiko ndani kwa ndani na juu mmedamshi wa baibui safiii!!!



20180915_111956.jpg
Hapa sasa mkivaa hivi mtadamshi ila mtatuchanganya wambea sisi, kwamba mmevaa baibui au jeans.
ila nyie ndo hamjali lolote.
 
Tarehe 2 December nita support mdada 1 tu asizidi ila masharti yatazingatiwa. sijamjua ni nani il akadri siku zinavyokwenda nitamjua, ikitokea ombi linakuja inbox sawa nitalipokea na kulifanyia kazi.
 
Kwanini mmechagua ukumbi unao chukua idadi ya watu wachache sana hivyo, napendekeza kuwa muweke akiba ya ukumbi mwingine ili kabla ya tarehe 8 endapo watu watakuwa zaidi ya 70 mtabadilisha venue kwenda kwenye ukumbi mwingine isiwe first come first served NO.
Wala usijali
Mkijaa tutahamia ukumbi mwingine humohumo ndani.
Yaani tuko full chaji
 
ukhuty na Hajar
Chagueni vya kuvaa.
Mshindwe nyie sasa
View attachment 866843Hapa mnapigilia jeans na hijab zenu juu



View attachment 866845Hapa sasa kitu cha jeans kiko ndani kwa ndani na juu mmedamshi wa baibui safiii!!!



View attachment 866847Hapa sasa mkivaa hivi mtadamshi ila mtatuchanganya wambea sisi, kwamba mmevaa baibui au jeans.
ila nyie ndo hamjali lolote.
😂😂😂😂 Dada ila sio kwa kutuotea hivyo hapa ndio tunapanga na kupangua iitokea nafasi tumeipata tutoke vipi.

Ila sie wa mashungi ikitokea tumekuja mtatujua tu kwa kweli. 🙈🙈🙈🙈 maana sijui kama hatutakuwa wawili tu ukumbi mzima. 😂😂😂😂

ukhuty hebu pita huku.
 
Back
Top Bottom