Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Tanzania hii au watokea Congo....au waja kwa mguu!!Natokea mbali mno kwa usafiri wa bus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Tanzania hii au watokea Congo....au waja kwa mguu!!Natokea mbali mno kwa usafiri wa bus.
Hili nalo neno!!hiliiHalafu kingine, wanaume wanao jua kuwa wao ni ma BIGI wawe ma sponsor kwenye party wajitokeze kwenye kwa ajili ya kuwa support kina dada ambao wanaona wanafaa kuwepo itatusaidia sana kwenye uhudhuriaji.
Huyu mwenye maziwa yaliyojaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] najiona nikiwa nimesimama na mabrothermen wa JfHapa tunakutana na RRONDO, Don Clericuzio , Llio 002 akiwa sambamba na Mbassa jr
View attachment 866769
Yule dada anayekunywa Castle ya kopo nyuma yao ni Simara
Alikataa kupiga picha na akina Mbassa
Wala usijaliKwanini mmechagua ukumbi unao chukua idadi ya watu wachache sana hivyo, napendekeza kuwa muweke akiba ya ukumbi mwingine ili kabla ya tarehe 8 endapo watu watakuwa zaidi ya 70 mtabadilisha venue kwenda kwenye ukumbi mwingine isiwe first come first served NO.
Na Mimi pia ustadhat....!!!!ukhuty na Hajar
Chagueni vya kuvaa.
Mshindwe nyie sasa
View attachment 866843Hapa mnapigilia jeans na hijab zenu juu
View attachment 866845Hapa sasa kitu cha jeans kiko ndani kwa ndani na juu mmedamshi wa baibui safiii!!!
View attachment 866847Hapa sasa mkivaa hivi mtadamshi ila mtatuchanganya wambea sisi, kwamba mmevaa baibui au jeans.
ila nyie ndo hamjali lolote.
Safi kabisaaWala usijali
Mkijaa tutahamia ukumbi mwingine humohumo ndani.
Yaani tuko full chaji
Waooo....ahsante kunipa mshonooo!!!
Masharti ndo yapi hayo?Tarehe 2 December nita support mdada 1 tu asizidi ila masharti yatazingatiwa. sijamjua ni nani il akadri siku zinavyokwenda nitamjua, ikitokea ombi linakuja inbox sawa nitalipokea na kulifanyia kazi.
😂😂😂😂 Dada ila sio kwa kutuotea hivyo hapa ndio tunapanga na kupangua iitokea nafasi tumeipata tutoke vipi.ukhuty na Hajar
Chagueni vya kuvaa.
Mshindwe nyie sasa
View attachment 866843Hapa mnapigilia jeans na hijab zenu juu
View attachment 866845Hapa sasa kitu cha jeans kiko ndani kwa ndani na juu mmedamshi wa baibui safiii!!!
View attachment 866847Hapa sasa mkivaa hivi mtadamshi ila mtatuchanganya wambea sisi, kwamba mmevaa baibui au jeans.
ila nyie ndo hamjali lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babe Cole WilliamsView attachment 866746
Kutoka kushoto witnessj
Cole Williams akiwa na sweetlee na huyo kulia ni Mama Sabrina akiwaaga kuwa anakwenda kwa G