JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Mkuu, huyo dada.... Madame S anaonekana yuko polite sana, the way anajibu comments zako as if mmeonana kwa mara ya kwanza nasasa mnaanza kuufahamiana. Nimependa mazungumzo yenu
Daaah,nilijua tu humu sio sehemu salama...! Ndio maana nikawa naomba tubadiloshe venue.

Kaka shukrani kwa kufatilia maongezi yetu....!
 
Jifunzeni jinsi mikutano ya HACKERS inavyoandaliwa na jinsi wanavyokutana.

Msihatarishe usalama wa watu kizembe namna hii.
Maxence Melo angalia hii kitu ni kukutwika yet another burden from safeguarding our anonymity.

Facebook users or tweeter users wameshawahi fanya kitu similar to this.

Lets enjoy JAMIIFORUMS platform.
FYI Party INA baraka zote za Max na Team Ya Jamii Forum. Pia hii sio ya kwanza.
 
Back
Top Bottom