Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ushaituma kaka? Tuanze kushangilia?Nitawatolea nimetenga 90K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaituma kaka? Tuanze kushangilia?Nitawatolea nimetenga 90K
Hawawezi kosekana. Kwenye wengi kuna mengi mkuuTrust me, kuna watu vyuma hawajawai kutokea tangu Uhuru. hawaji kulewa wala Ku get together wao ni kutaka kujua who is who. Yupo radhi kukiwa kumetulia au mziki umekata anaweza kushauti kwa nguvu ID ya mtu mfano akaita Mziguuuuuaaaaa halafu anaangalia reaction...(joking) lakini vyuma lazima viwepo...
KaribuniSisi tulioko huku isunga ngwanda tunakaribishwa?
jibu langu tayari unalome nataka kwenda
nataka kwenda achana na hilo jibujibu langu tayari unalo
It seems unamafunzo ya kuishi kwa maarifa na jamii inayokuzunguka, ulikuwa una-reply very polite.ha ha ha jamani hata simfaham mimi nililala zangu
oh oh najikuta sina cha kusema ghafla eti!! Asante kwa kuvutiwa nami had aibu ninaona hapa wallahIt seems unamafunzo ya kuishi kwa maarifa na jamii inayokuzunguka, ulikuwa una-reply very polite.
Nimetokea kukuelewa sana hahahaaa....
Kuna bwalo la kuogelea?Hata 10
Kuwa na amani madam, huu ni wakati wa uwazi na ukweli....ukiwa fisadi tunakutumbua lakini ukiwa mtu mwema tunaku-promote to higher rankoh oh najikuta sina cha kusema ghafla eti!! Asante kwa kuvutiwa nami had aibu ninaona hapa wallah
sawanataka kwenda achana na hilo jibu
@Archduke huyu anasifia sanaIt seems unamafunzo ya kuishi kwa maarifa na jamii inayokuzunguka, ulikuwa una-reply very polite.
Nimetokea kukuelewa sana hahahaaa....
Bwalo ndo nini?Kuna bwalo la kuogelea?
Swimming pool....mkuuBwalo ndo nini?
Ndivyo nilivyo mtu akifanya vizuru mkuu. Kuna watu humu wanamajibu magumu sana kwa wenzao, lakini nimeona tofauti sana kwa Madame S@Archduke huyu anasifia sana
OoohSwimming pool....mkuu
Wazungu hao kiswahili hawajui ngoja nikae kimyaSwimming pool....mkuu
hahaa nakuelewa lakinisawa
jamani asante sana sana sanaNdivyo nilivyo mtu akifanya vizuru mkuu. Kuna watu humu wanamajibu magumu sana kwa wenzao, lakini nimeona tofauti sana kwa Madame S
mhhh@Archduke huyu anasifia sana