Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
na sisi wa live streaming huku kigoma tutawapatajee??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti ushalipiwa wewe ??
kwa hiyo huyo ni muongo au unanilamba tuNakusubiri wewe unilipie mume wangu.
kwa hiyo huyo ni muongo au unanilamba tu
Yaan we mtu post zako na maskini [emoji23][emoji23][emoji23] unanichekeshaga sanaKweli Jf imejaa maskini hadi sasa wamechanga watu wanne tu
Wengine wapo kwenye uzi kupiga soga masaa 24
Natoa ofa kwa maskini kumi kuwalipia laki 3....walio tayari wanifuate PM
Kweli Jf imejaa maskini hadi sasa wamechanga watu wanne tu
Wengine wapo kwenye uzi kupiga soga masaa 24
Natoa ofa kwa maskini kumi kuwalipia laki 3....walio tayari wanifuate PM
Mtumishi Mungu akipenda tutaonana, ila na sisi wa mwanza tuta andaa.Amen mtumishi.
Ndugu unakaribishwa sana mtumishi wa Bwana
Sasa jirani usipochangamka hizo fursa utaishia kuzisikia tu... Hebu fanya manuvaz basi tusererekeHizi notification sizipate jirani..Yani hadi fursa zinanipita
Natamani yapigwe marufuku teh teh, iwekwe sheria mtu akikutwa na wigi mtaani akamatwe[emoji4] [emoji4] , kofia zitauzika sana aseehKuna wengine vipara vinawatoa damshi.
ila sio kwa hiki kichwa changu....naona mtacheka ukumbu mzima.
Haya mawigi haya....yanatusitiri wengi jamani.
Asante mzungu
Wifi ake kiboko kabisa [emoji7][emoji7]Khaaa!!!
Huku chini nimedamshi ila juu nina bonge la kofia kama la Diblo Dibala
HaiwezekaniBhana eeeee
Mambo ya kuvaa kofia Dar tena jamani.
Tena atuache kwa kweliUmeona eeeee
Huyu ana lengo baya na wadada wa mjini huyu