JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

Mapendekezo yangu,

Kwa kuwa hii mmesema ni JF get together party, huu uzi usiwe chitchat
kuna wadau wengi sana wanaoweza kushiriki kama wangeuona huu uzi kule kwenye Habari na Hoja. au MMU..
Mjue hili jukwaa la chitchat watu wengi sana hawalijui na huwa hawalioni labda mtu awe mentioned!!


Sasa kama tunataka ushiriki mzuri wa wanaJF wote waliopo Dar na kwingineko, basi hamisheni huu uzi kutoka chitchat
Upelekwe either MMU au jukwaa jingine ambalo linaonyeshwa sehemu zote!!

CC; lara 1, Mtambuzi and others who are concerned
 
Last edited by a moderator:

Na kweli Mtambuzi unajua kutunza siri.. Mpaka leo hawajui kama Gissela alikuja kunitembelea hapa lol..
 
Last edited by a moderator:
hivi hubby anajua kama huwa nachat JF? ngoja niage nina safari ya kikazi kuelekea Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…