Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Teh teh teh... Chekaje mie!!!!
Wameboa si bora wangekuletea huko Mwanza Uliko Charminglady ili na wao waunguze nauli????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh... Chekaje mie!!!!
Ukicheka nami napata amani....ile plan yetu bado ipo?
Wameboa si bora wangekuletea huko Mwanza Uliko Charminglady ili na wao waunguze nauli????
Mkuu mbona una haraka hata Jan bado lolest..... :lol:
Leo nimepitaa pale Kebbys nikapaangaliaje
Ninyi minaniliu ya dar ina maana hamhoni hii comment???
Asprin, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, lara 1, watu8, Heaven on Earth, jouneGwalu, Kipaji Halisi, cacico, Vin Diesel na wooote woteee.....
Kaka yake huwa anapita umbuje!
Hiyo party nimechelewa kuona bandiko,sijui kibubu kitajaa on time?
hahahaha Ennie niuzie kesi ya Kibubu! Nimeona rafiki Fixed Point apo juu naye anataka kuinunua! nini shida mama hii ni JF ya watu wa ukweli bana
hahahaha Ennie niuzie kesi ya Kibubu! Nimeona rafiki Fixed Point apo juu naye anataka kuinunua! nini shida mama hii ni JF ya watu wa ukweli bana
Wewe tena! Papaa Kaizer kikigoma kujaa tu You'll be the first person to know! Fixed Point ni mwema mpaka anajua!!!
Ayaaaaaaa........
Vipi tena?
Naona kama imeanza kula kwangu mazima.
Liambie bia za Moro zina Typhoid. Anywe na wagonjwa wenzake, hatuji Ng'ooo.