JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

JF Get Together Party kufanyika Kebby’s Hotel Jumamosi 25 Januari 2014, michango imeanza kupokelewa…

Hii imetulia sana! Nahisi kuwepo. Ngoja nimPM Mtambuzi anieleze akipokea mchango wangu kwa Mpesa atajuaje ni mimi manake Mpesa itaonyesha jina tofauti na hii ID ya JF!
We tuma tu huna haja ya kutaja ID hata ukija utaingia na jina ulilotumia MPesa, na kama ukipenda nijue ID yako sawa na nitafanya siri kwani hata Party ya Januari 2013 watu walituma pesa zao na wapo walionipa ID zao na wapo ambao hawakunipa lakini nilifanya siri hakuna hata mmoja niliye expose ID yake. Mimi ni mtu mzima na ninajua kutunza siri hivyo usihofu
 
Back
Top Bottom