Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Akishamaliza kumpikia chai..?
Kauka kamanda! Mambo yangu supa mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishamaliza kumpikia chai..?
Kauka kamanda! Mambo yangu supa mwaka huu.
Naona kamanda lol.. Clearance zinatoka kiulaini..
Umeona eeh?
Akishamaliza kumpikia chai..?
amfulie, aoshe vyombo, asafishe nyumba na banda la kuku akimaliza aoge aende sokoni,mie nipo njiani nakuja kumpa mume haki yake ya ndoa!
ukimaliza kumsalimu kamcheshie maji ya kuoga then umpikie na chai.... Nakuruhusu
Naomba nije tafadhali eeh! You know what? Mimi ni mgeni na sipajui Darisalama, naomba unioneshe jiji na mitaa yake tafwadhali.
Samahani waandazi, hiyo mahali patakuwa na viti vya kukalia?
Ahsante,nimeshawasiliana na waandazi.wewe unataka kukaa au kusimama? sielewi unamaanisha nini hapa
Aisee hii siyo ya kukosa....
Paloma yuko bed rest anasubiri kunitotolea mapacha mie.. Karibia ntaitwa baba wawili..
..........mhhh kama uchuro vile...............! bado sijatotoa Ruttashobolwa ndo kwanza mimba ya mapacha ina wiki 4 unusu! na nisharudi jamvini.............
Beib jaman Dokta alikuambia bedrest iendelee.. utaniulia wanangu kwa ubishi wa kutaka kuzurura humu lol..