Hapo sawa aisee, make nilikuwa nakuja na vitu vyenye ncha kali. Last time nilinyang'anywa na saiv ninyang'anywe ohooooo!!!!
Mmmmh siyo hivyo hapa tuko cool sana tukiwaita hao baba zako patakuwa hapatoshi hapa.
Ukurasa uliingia maji my dear....huyo alokubana mwambie shikamoo
Nipe mbinu nizungumzaje na wenzangu?Usiwe na shaka....tatizo huzungumzi na wenzio
Nipe mbinu nizungumzaje na wenzangu?
Sasa unataka waitwe mara ngapi?! ebu fuatilia vizuri uone mpaka wengine washetishiana ku ufoosaliana wengine kuja na vitu vyenye ncha kale alimradi tafrani tupu. Miye ntakaa kwa pembe kuepusha msongamano
utaumbuliwa na nini mkuu?Nimeipenda hiyo maana wengine tutaumbuka mkuu
Pendekeza tarehe.
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.
Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne
Mkuu tunazungumzia Jumamosi ya tarehe 25 January 2014 na si 25 December 2013Mimi nadhani kati ya Ijumaa tarehe 3 ayu Jmosi tarehe 4 ya mwezi wa kwanza ingekuwa poa. ila huko 20+ mchakamchaka wa mwaka mpya unakuwa tayari ushaanza.
hizo tarehe 3 na 4 wengi wanakuwa bado wako likizo wanamalizia sherehe na familia zao ... wengine wako mikoani n.k....Mimi nadhani kati ya Ijumaa tarehe 3 ayu Jmosi tarehe 4 ya mwezi wa kwanza ingekuwa poa. ila huko 20+ mchakamchaka wa mwaka mpya unakuwa tayari ushaanza.
Hapo sawa aisee, make nilikuwa nakuja na vitu vyenye ncha kali. Last time nilinyang'anywa na saiv ninyang'anywe ohooooo!!!!
Mkuu hukuwa na haja ya kutukana, ukweli ni kwamba Party ya January mwaka huu tulikadiria wana JF 50 kuwa ndio watakaohudhuria lakini walifika 35 tu, hata hivyo katika uzi wangu hapo juu nimesema kwamba bajeti inaweza kupungua au kuongezeka kulingana na idadi ya wadau watakaojitokeza kuhudhuria hafla hii.
Unakaribishwa
utaumbuliwa na nini mkuu?
kama sijakuelewa vile.
kwani huko kwenye party wanasaili kazi?Watu huwa wanataja cv zao sasa mm nimeishia darasa la nne c itakua aibu kiongozi wangu
MtambuziMkuu tunazungumzia Jumamosi ya tarehe 25 January 2014 na si 25 December 2013