mnaenda kubokoana huko yaani jf kuna member kibao why 40 tu,then mnajuana nyie sio bure
Ha haaaaaa....wacha mawivu wewe
mke mwenza narudi kwangu jamani nilikuwa ukweni mwenzio
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.
Copy to- charminglady, Zion Daughter, Elizabeth Dominic, Avemaria, Asnam, Smile, snowhite, Lady doctor, Nivea, Lisa, miss wa kinyaru, lara 1, sister, King'asti, cacico, Asprin, Mwita Maranya, watu8, Ruttashobolwa, Teamo, TANMO, mdida, Blaki Womani, Arushaone, Mzee wa Rula, Filipo, PakaJimmy, Bishanga, LiverpoolFC, KOKUTONA, Arabela, Husninyo, MwanajamiiOne
umesema vyema, party ya january 2013 bajeti ilikuwa ni 20,000/= kwa kila mdau na tulipewa menu ya bites kwa shilingi 12,000/= na kwa kuwa bia zilikuwa ni shilingi 2,000 tukaweka bajeti ya bia 3 na kiasi kilichobaki tukakodisha mziki kwa shilingi 80,000/= na ndio sababu bajeti ika balance lakini gharama zimepanda kidogo na ndio maana nadhani kama tukichagua menu ya cocktail ambayo haitofautiani sana na ile menu ya kebby's kwa kujibana sana tukichanga shilingi 30,000/= tunaweza kufikia malengo. Kumbuka awali nilifanya makadirio ya juu.
Mkuu inabidi tukamzike mwanachama mwenzetu ......
Kwani amekufa kishujaa aisee... LOL
Gharama reasonable kabisaaa! Ngoja niende kwa mume wa mtu anipe mchango mapemaaa! NAKOMAA NA JIJI chezeya!
Gharama reasonable kabisaaa! Ngoja niende kwa mume wa mtu anipe mchango mapemaaa! NAKOMAA NA JIJI chezeya!
Amber Ross.....?Gharama reasonable kabisaaa! Ngoja niende kwa mume wa mtu anipe mchango mapemaaa! NAKOMAA NA JIJI chezeya!