JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

Shikamoo Mzee Mtambuzi naomba kuchangia kesho aisee!!! Leo niko 50/50.....
 
Last edited by a moderator:

Umesomeka bishost!!!
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja..
Naomba nipewe nafasi ya kuja na kikundi changu cha MSEWE kutumbuiza siku ya Ghafla hiyo, huo ndio utakuwa mchango wangu.

Na ole wako ukose mwana Bububu wewe....
 
Haya wakuu naomba maoni yenu kuhusu ukumbi, kwa upande wangu nafikiria kuhusu kumbi hizi:

1. San Siro - Sinza

2. Brajec -Mikocheni au Mlimani City Savei

3. Kebby's Hotel - Bamaga Mwenge

Naomba mapendekezo ili tuendelee na kupanga bajeti niwaletee mchanganuo hapa kisha tuanze kukusanya michango fasta fasta
 
Mimi napendekeza Escape1Papo poa mnatengewa sehemu yenu!poa kabisa!
 
Mimi napendekeza Escape1Papo poa mnatengewa sehemu yenu!poa kabisa!
Mkuu toa ufafanuzi wa hapo mahali, location, price, menu etc maana sio watu wote wanapajua huko .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…