JF Happy New Year (2017) party

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Wana JF, habari,

Mwaka ndio umekwisha hivyo,
Tunakutana wapi Kusheherekea na kutathimini?

Pendekezeni na Kamati pia.

MODS chukueni mawazo

UPDATES;

1. Mbaamwezi Beach Hotel

2. South Beach Hotel
 
mimi mweka hazina, part mbalamwezi beach
 
Mwaka jana mlifanyaje??
 
thread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.

si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.
 
dili hili.. ngoja mpiga dili nisogee
 
thread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.

si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.
Unadhani anaeirudisha nyuma atakuwa nani?
 
Mweeeeh!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
thread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.

si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.
Siku hizi hata charting A whatsapp zinaingia chache.. Maisha yamebadilika Sana wananchi nyuso hazina siha
 
Tutoke wawili wawili yaan jf couple party 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…