Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha, mwanza wing pia mfikirie hili ikiwezekana iwe same day kwa JF wing zote!Mwaka jana mlifanyaje??
Unadhani anaeirudisha nyuma atakuwa nani?thread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.
si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.
Siku hizi hata charting A whatsapp zinaingia chache.. Maisha yamebadilika Sana wananchi nyuso hazina sihathread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.
si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.
Vinywaji na chakula nitangaramikia mimi!
Ila kuwa na ma chick wanao eleweka!
Nitakuwa mgeni wako ata usiponialikaMimi nitakuwa nyumbani nachoma nyama na castle lager pembeni!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitakuwa mgeni wako ata usiponialika
mgeni mimi bila card nimeshafika ole wako unifukuze [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23]