JF Happy New Year (2017) party

Ambiele, najua unawafahamu vyema watani wako. Hata wakisikia mkasi tu umeanguka chini utawasikia'' Yangu iyo aiseeeeeeeeeeee''
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]

Shida huu mwez wa 12

Hawakawii kukwambia tupo nyumban

Kumbe ndio wanatumbua Jasho letu
 
Najichagua kuwa MWEKA HAZINA WA KAMATI YA SHEREHE
 
thread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.

si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.
mm nahisi mambo ya hapa kazi tu, ndio,yanarusha uzi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…