supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
[emoji124] [emoji124] bingo!!Njoo unilinde na mm
Ongea kabisa na shemeji fakalava akikubali itakuwa fresh malipo sio makubwa, halafu niachie mimi hilo jukumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] [emoji124] bingo!!Njoo unilinde na mm
ha ha ha nitaongea nae[emoji124] [emoji124] bingo!!
Ongea kabisa na shemeji fakalava akikubali itakuwa fresh malipo sio makubwa, halafu niachie mimi hilo jukumu.
[emoji6] [emoji6]Njoo unilinde na mm
Point tupu hapa[emoji124] [emoji124] bingo!!
Ongea kabisa na shemeji fakalava akikubali itakuwa fresh malipo sio makubwa, halafu niachie mimi hilo jukumu.
[emoji6] [emoji6]
Mkuu ulinzi wa shunie nakuachia jukumu wewe unafaa sana.Point tupu hapa
Mana Braza Fakalava Anaghalamikia Hapo
Wee acha tuu
Amesha kutunuku tayari wee Fanya nae kaz tuuMkuu ulinzi wa shunie nakuachia jukumu wewe unafaa sana.
Ngoja mimi naskilizia ulinzi wa kwenye JF party[emoji1] [emoji1]
Hata mi nais ivyoKazaliwa Kaskazi huyo.
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Ambiele, najua unawafahamu vyema watani wako. Hata wakisikia mkasi tu umeanguka chini utawasikia'' Yangu iyo aiseeeeeeeeeeee''
mm nahisi mambo ya hapa kazi tu, ndio,yanarusha uzi nyumathread nzuri kama hii kwa kipindi kama hiki cha kuelekea kuufunga mwaka 2016, sikutegemea iwe ina-trend taratibu namna hii....nilidhani nitakuta ishavuka page nne.
si bure,kuna mtu atakuwa anaivuta kuirudisha nyuma.