Hivi nini maana ya kuhusudu? So hao unawahusudu?Ahsante
Mkuu wapo wengi lakini
●Malcom Lumumba
●Wick
●Eiyer
Ni watu nawakubali sana sana nimejifunza mengi toka kwao na naendelea kujifunza mengi toka kwao..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mm nilivyoelewa ni unaowakubali.. ndio nawakubali coz nimejifunza vingi mno kwao. Ila kuna mwengine Ninzaidi yao siwez kumtaja hapaHivi nini maana ya kuhusudu? So hao unawahusudu?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mm nilivyoelewa ni unaowakubali.. ndio nawakubali coz nimejifunza vingi mno kwao. Ila kuna mwengine Ninzaidi yao siwez kumtaja hapa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ndio ni Supporting Document ya kuifikia Maendeleo. Lakini waafrika wataendelea tu pindi watakapo jitambua Kifikra pia wakajitoa kwa ajili ya kujenga nchi zao/Afrika yaoUnadhani Demokrasia na utawala bora ni nyenzo ya kufikia maendeleo ya kiuchumia Afrika?
Proverb 3:5-6
Ipo dhana kuwa Afrika haiwezi kuendelea sababu kwa asilimia kubwa imewekwa kwenye kitanzi cha mifumo ya kiuchumi na kitechnoljia ambayo ni ya kinyonyaji kutoka kwa wamagharibi! Unakubaliana na dhana hii?Ndio ni Supporting Document ya kuifikia Maendeleo. Lakini waafrika wataendelea tu pindi watakapo jitambua Kifikra pia wakajitoa kwa ajili ya kujenga nchi zao/Afrika yao
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Dhana ya Mungu kutokuwepo au kuwepo kila mtu anajinsi anavyoielewa kutokana na jinsi anavyoielewa yeye!! Akisema hakuna Mungu nitamkubalia coz ni imani y
Oww! Asante kwa kuwa jasiri na kumtaja.Hapana si kosa!!
Namkubali Blaki woman kuliko yoyote yule JF
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Utamuunga mkono kwamba ni kweli hakuna Mungu?Dhana ya Mungu kutokuwepo au kuwepo kila mtu anajinsi anavyoielewa kutokana na jinsi anavyoielewa yeye!! Akisema hakuna Mungu nitamkubalia coz ni imani y
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nakubaliana nayo mkuu ndio maana nimesema kua afrika itaendelea pindi tu Tutakapo jikomboa Kifikra! Ukombozi wa fikra ndio kila kitu katika Maendeleo ya mwanadamuIpo dhana kuwa Afrika haiwezi kuendelea sababu kwa asilimia kubwa imewekwa kwenye kitanzi cha mifumo ya kiuchumi na kitechnoljia ambayo ni ya kinyonyaji kutoka kwa wamagharibi! Unakubaliana na dhana hii?
Proverb 3:5-6
Hapana si kosa!!
Namkubali Blaki woman kuliko yoyote yule JF
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nilitamani nioe nikiwa na 26yrs /27 ila siwezi kupanga nitaoa mkoa upi coz nitapokea wa kutoka mkoa wowote ule ilimradi ti awe yule tu ambaye namwomba Mungu anipatie
Peleka Fb..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio nitamuunga coz haibadirishi imani yangu kua Mungu yupo
Homosexuality ni suala tata, unavyodhani ni sahihi ikiwa ni haki ya mtu?Nakubaliana nayo mkuu ndio maana nimesema kua afrika itaendelea pindi tu Tutakapo jikomboa Kifikra! Ukombozi wa fikra ndio kila kitu katika Maendeleo ya mwanadamu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Tukinge ndoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye machozi.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23]