Hivi nini maana ya kuhusudu? So hao unawahusudu?Ahsante
Mkuu wapo wengi lakini
●Malcom Lumumba
●Wick
●Eiyer
Ni watu nawakubali sana sana nimejifunza mengi toka kwao na naendelea kujifunza mengi toka kwao..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.