JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

Kwa nn hauwezi kumtaja? Kwani kumkubali mtu ni kosa kusema hadharani?
Mm nilivyoelewa ni unaowakubali.. ndio nawakubali coz nimejifunza vingi mno kwao. Ila kuna mwengine Ninzaidi yao siwez kumtaja hapa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Ndio ni Supporting Document ya kuifikia Maendeleo. Lakini waafrika wataendelea tu pindi watakapo jitambua Kifikra pia wakajitoa kwa ajili ya kujenga nchi zao/Afrika yao

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ipo dhana kuwa Afrika haiwezi kuendelea sababu kwa asilimia kubwa imewekwa kwenye kitanzi cha mifumo ya kiuchumi na kitechnoljia ambayo ni ya kinyonyaji kutoka kwa wamagharibi! Unakubaliana na dhana hii?

Proverb 3:5-6
 
Hapana si kosa!!
Namkubali Blaki woman kuliko yoyote yule JF

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Oww! Asante kwa kuwa jasiri na kumtaja.
Sasa ngoja nikuulize swali langu hapa chini.
Sina uhakika kama limeulizwa maana sijaweza kupitia coments zote ila kama limeulizwa utaniconnect na hilo jibu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Ipo dhana kuwa Afrika haiwezi kuendelea sababu kwa asilimia kubwa imewekwa kwenye kitanzi cha mifumo ya kiuchumi na kitechnoljia ambayo ni ya kinyonyaji kutoka kwa wamagharibi! Unakubaliana na dhana hii?

Proverb 3:5-6
Nakubaliana nayo mkuu ndio maana nimesema kua afrika itaendelea pindi tu Tutakapo jikomboa Kifikra! Ukombozi wa fikra ndio kila kitu katika Maendeleo ya mwanadamu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Nakubaliana nayo mkuu ndio maana nimesema kua afrika itaendelea pindi tu Tutakapo jikomboa Kifikra! Ukombozi wa fikra ndio kila kitu katika Maendeleo ya mwanadamu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Homosexuality ni suala tata, unavyodhani ni sahihi ikiwa ni haki ya mtu?

Proverb 3:5-6
 
Back
Top Bottom