JF Hard Talk "Da'Vinc"

Naisubiri hard talk yako.
 
Mkuu ni kweli kabisa sikufanikiwa kufika advance ila nimeishia fom four. Kama ningefanikiwa ningekua mudaa huu Chuo mwaka wa kwanza. Sina elimu yoyote inayoniwezesha ni neema na baraka alizonijalia muumba wangu hua hanyimi vyote mtu!!
Ni passion tu ya kupenda kujua mambo

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
1. Ni swali gani gumu kwako? Na ni kitu gani hupendi watu wakijue kukuhsu?
2. Ni kitu gani kimewahi kukufurahisha kwenye maisha yako ambacho huwezi kukisahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Mkuu akii sipendi wana jf wajue niko under 23
2. Mkuu kurejeshewa matumaini ya kurudi kusoma wee achaa tuuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Wewe ni member kule JLW? na kama ni member ni kitu gani kinakufanya uendelee kuwepo?

Inasemekana una iq nzuri (sina uhakika sababu iq haipimwi kwa uwezo wa kukariri) je ni nini kinacho verify ukubwa wa akili yako ama ni maneno ya watu?
 
Mkuu ukijibu na haya yangua naomba unitag

End Justify Mean
 
Wewe ni member kule JLW? na kama ni member ni kitu gani kinakufanya uendelee kuwepo?

Inasemekana una iq nzuri (sina uhakika sababu iq haipimwi kwa uwezo wa kukariri) je ni nini kinacho verify ukubwa wa akili yako ama ni maneno ya watu?
Mkuu mm ni memba kule.. na niliungwa bila kupenda. Sijui shida nn nikiomba kuungwa jukwaa la dini naungwa hadi kule.. nikitolewa huko hadi jukwaa la dini natolewa.
Mkuu mm sijui kama nina iq kubwa labda wanaonizunguka. Btw napenda vitu vinavyofikirisha ubongo zaid sio kukariri ndio maana masomo ya sekondari nilifeli. Hua sipend kukaririshwa syllabus

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…