Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
Naisubiri hard talk yako.1.Unaonekana unafuatiliaga sana movie jee ni ipi latest uliyoona na kali?
2.Tukikukabidhi leo hii JF uwe mmiliki wake jee ni kitu gani ungeongeza na kipi ungeondoa na kwa nini uongeze hicho ama upunguze kile?
3.Kwa siku minimumu na maximumu unalala masaa mangapi?
4.Jee katika jamii inayokuzunga ni jambo gani hukukela zaidi pale unapoliona/kukumbana nalo?
5.Idea yako ya kutafri vitabu kuja lugha adhimu ya kiswali imefikia wapi?
End Justify Mean