JF Hard Talk "Da'Vinc"

Natamani nijibu maswali magumu yenye kufikirisha mnayouliza ila simu naitumia ipo kwenye chaji.. Nadhani mwajua matatizo ya sim za Samsung. Hazikai na moto maswali yenye majibu marefu nitajibu kesho

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Unamsaidiaje kijana anaewaza kua na fikra pana p1 na maono ya kikubwa zaidi ili hali ubongo wake hauwezi kuchanganua mambo kiupana zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamsaidia..
Kwa kuwa na ari ya kujisomea vitu mbalimbali, kumpa maswali taratibu ambayo yanafanya atumie ubongo kufikiri, nitamkabidhi kwa Mungu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hapana sina hata mpenzi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sawa.

"ᵀʳʸ ⁿᵒᵗ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ᵇᵘᵗ ʳᵃᵗʰᵉʳ ᵗʳʸ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ᵛᵃˡᵘᵉ✓"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…