JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

Huwa unasema haujasoma kumaliza hata secondary. Lakini una uwezo mkuwa wa kupambanua mambo, na kuyanyambua vyema ambapo kwa mtu mwenye level yako ya elimu ni nadra sana kuweza.
Jee tofauti na elimu ( nchi yetu) una elimu nyingine inayokuwezesha kufanya hivyo?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Nilitamani nioe nikiwa na 26yrs /27 ila siwezi kupanga nitaoa mkoa upi coz nitapokea wa kutoka mkoa wowote ule ilimradi ti awe yule tu ambaye namwomba Mungu anipatie

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kuna kipindi uliweka wazi kuwa huna furaha kwenye maisha yako. Je bado unakabiliwa na hiyo situation au uliweza kuisolve?
 
Kanisa kwangu lina mchango wa kunikuza kiroho, kunikutanisha na watu wapya..Kunirejeshea furaha napokua sina amani.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
mwaka jana kuna thread fulani kuna vitabu ulikuwa unatafuta kikiwepo hichi When Bad Things Happen to Good People
baada ya kukisoma hicho kitabu je maoni yako kuhusu Mungu yalibadilika au la?
je unakubaliana na mwandishi kuwa God can't do everything, but he can do some important things.
 
mwaka jana kuna thread fulani kuna vitabu ulikuwa unatafuta kikiwepo hichi When Bad Things Happen to Good People
baada ya kukisoma hicho kitabu je maoni yako kuhusu Mungu yalibadilika au la?
je unakubaliana na mwandishi kuwa God can't do everything, but he can do some important things.
Imani yangu kwa Mungu inazidi imarika siku baada ya siku mkuu si kubaliani na maoni ya mwandishi wa vitabu hivyo mkuu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
~una ushauri gani kwa wana JF has a ukioanisha kati ya awamu ya NNE na awamu hii ya tano,ya hapa kazi tu...ktk ujenzi wa Taifa.??

~ungepewa nafasi ya kuzaliwa upya ungependelea uzaliwe nchi gani...na nani.!?

~kwa nini waliompiga Tundu Lissu risasi hawajulikani,ilhali CCTV camera zinasemekana zilishuhudia tukio.!?

~je unadhani watekaji wa MO walipewa ile bilioni ndio wakamwachia...au ilikuwaje? Nini Mirza no wako?

~'Kilimo ndio uti wa mgongo.' Je unadhani hii Sera bado inazingatiwa!?

~Una ushauri gani kwa Mh.Rais,hasa ukiwakilisha kundi LA vijana?

~Watanzania wengi hawana bima ya afya na hata iliyopo in gharama kubwa,nini kifanyike.!?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitamani nioe nikiwa na 26yrs /27 ila siwezi kupanga nitaoa mkoa upi coz nitapokea wa kutoka mkoa wowote ule ilimradi ti awe yule tu ambaye namwomba Mungu anipatie

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwa hio unataka kutuambia wewe bado ni mvulana? ...ila hongera unaonyesha maturity ya kiwango cha juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Unaonekana unafuatiliaga sana movie jee ni ipi latest uliyoona ni kali?
2.Tukikukabidhi leo hii JF uwe mmiliki wake jee ni kitu gani ungeongeza na kipi ungeondoa na kwa nini uongeze hicho ama upunguze kile?
3.Kwa siku minimumu na maximumu unalala masaa mangapi?
4.Jee katika jamii inayokuzunga ni jambo gani hukukela zaidi pale unapoliona/kukumbana nalo?
5.Idea yako ya kutafri vitabu kuja lugha adhimu ya kiswali imefikia wapi?

End Justify Mean
 
1. Ni swali gani gumu kwako? Na ni kitu gani hupendi watu wakijue kukuhsu?
2. Ni kitu gani kimewahi kukufurahisha kwenye maisha yako ambacho huwezi kukisahau?
3. Kipi/ nini kinatukwamisha kwenye uchumi wa kati? Viongozi, mfumo am sisi wenyewe? Kipi kifanyike?
4. Upi mtizamo wako wa kuongozwa na chama kimoja muda mrefu? Imetusaidia ama imeongeza mgawanyiko/matabaka?
5. Tumeshuhudia kundelea kufanya vibaya kwa shule za serikali. Je, wapi tunakosea? Wazazi na muamko duni wa elimu au incentive za serikali hazikidhi mahitaji? Elimu bure?

Utaniwia radhi kama kuna replication. Kama ipo nilink na majibu husika tafadhali. Obrigado[emoji1488]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom