Asalaam aleykum FaizaFoxy karibu kwenye hard talk, ningependa kufahamu yafuatayo..Samahani sana jana kidogo mtandao kwetu ulikuwa unaingia na kutoka.
Tunaweza kuendelea leo kwani naona mtandao upo vizuri.
Mambo ya pm siyapendi. Kuna nyuzi nimefungua humu JF,, moja hii: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa - JamiiForums na nyingine hii: FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa - JamiiForums.. Nimefungua hizo nyuzi kwa kutokupenda kuwasiliana kwa pm.
@FaizaFoxy unaweza kuwa na uthibitisho wowote juu ya malalamiko yenu kuwa wanafunzi wa kiislam walikua wanapunguziwa alama?Hilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani. Waislam mpaka wakaingia mitaani kuandamana mpaka Ndalichako akaachia ngazi.
Magufuli alipoingia madarakani akatuzaba Waislam kofi la kikelb kwa kumrudisha wizara hiyohiyo na kumfanya Ndalichako awe waziri wa elimu. Hatari.
duh inamaana kabla ya 1961 ulikuwepo!!!Moja katika vitu ninavyohisi ni ubaguzi ni hilo la kuulizana umri. Unataka kunibagua kwa umri wangu?
Kwa ufupi, chukulia kuwa nilikuwepo kabla ya awamu ya kwanza. Alhamdulillah nimeziishi awamu zote tano baada ya Uhuru na Malkia wa Kiingereza alishakuwa Malkia wangu na nnamuheshimu.
Magufuli yupo vyema sana, sema wazee wenye diplomasia wangempiga msasa kidogo kwani kuna vitu anavyoweza kuongea vikatafsirika vibaya. Na watendaji wanamuiga style yake nadhani wangejielekeza zaidi kwenye usimamizi na uwezeshaji kama alivyofanya jana na juzi kuliko kuwa kwenye kudhibiti tu.Una mtazamo gani juu ya Raisi wetu mpendwa wa JMT ndugu JPM unafikiri ni chaguo lililokuja katika kwa wakati sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
yani umemuoa na yeye amekuoa.Kwa sasa elimu yangu haina umuhimu kwani nimejifunza kuwa kuelimika si kwenda shule pekee. Nimeona wengi wameenda shule kusomea ujinga.
Sijaolewa. Nimeoana na mume wangu. Mpaka sasa nafahamu ni mimi tu niliyeoana nae.
hapa umedanganya uma,mbona mimi nimesoma na rafiki zangu waislam na walikua wanapasua tu ,na waliokua wanafeli ni wale vilaza tunaowajua.sasa nyinyi wengi wenu mnakesha madrasa ,elimu ya darasani mnaiona ya kikafiri halafu mnataka mfaulu sawa na wakristo ambao shule ndio kipaumbele namba moja elimu ya biblia ni mpaka sunday school au kipindi cha dini .mpaka leo unguja na pemba ndio shule zinazoshika mkia kwenye mitihani ya kitaifa vp ndalichako bado anawafatilia huko ?punguza mihemko ya kidini mamaHilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani. Waislam mpaka wakaingia mitaani kuandamana mpaka Ndalichako akaachia ngazi.
Magufuli alipoingia madarakani akatuzaba Waislam kofi la kikelb kwa kumrudisha wizara hiyohiyo na kumfanya Ndalichako awe waziri wa elimu. Hatari.
Ndio hii hard talk!?...au udakuElimu yako mama/bibi, pili umeolewa? kama ndio wewe ni mke wa ngapi kwa mmeo
Sent using Jamii Forums mobile app
@FaizaFoxy unaweza kuwa na uthibitisho wowote juu ya malalamiko yenu kuwa wanafunzi wa kiislam walikua wanapunguziwa alama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gaidi kwa mmoja ni mpigania Uhuru kwa mwengine.Unadhani nini sababu ya kuibuka kwa makundi ya kigaidi hasa yanayojificha katika mwavuli wa Dini Kiislamu, Je ni kweli mafundisho yenu yanawataka mfanye Ugaidi?
Kwa sasa elimu yangu haina umuhimu kwani nimejifunza kuwa kuelimika si kwenda shule pekee. Nimeona wengi wameenda shule kusomea ujinga.
Sijaolewa. Nimeoana na mume wangu. Mpaka sasa nafahamu ni mimi tu niliyeoana nae.
Sawa Mkuu,Vipi Maisha ya kutafuta huko kwa tunaotaka kuja kutafuta,vipi kuna uwezekano wa kutusua kifedha? Kazi za aina gani kwa watu wasio na degree(DEIWAKA) ambazo zinalipa kwa huko na wanalipa Tsh ngapi per 1hr,week ,month?Kote. Msimu wa baridi Canada nnakuwa Tanzania na likiwa joto kule nnakuwa huko.
Nazungumzia hawa wanaobeba mwavuli wa kidini km Boko Haram, Al-Shabab, ISIS nk. kama ulivyosema Ugaidi ni mpigania Uhuru kwa mwingine na hawa wote wanadai wanapigania Uhuru wa kidini ili kuweka Islamic Law (Sharia). Swali langu ni kwamba ni kweli mafundisho yenu yanawataka mfanye Ugaidi?Ugaidi kwa mmoja ni mpigania Uhuru kwa mwengine.
Mandela alifungwa miaka 27 kwa ugaidi, alihukumiwa maisha!
Tunaamini Mandela ni gaidi?
Ndiyo hao ninaosema mimi. Gaidi kwa mmoja mpigania Uhuru kwa mwengine.Nazungumzia hawa wanaobeba mwavuli wa kidini km Boko Haram, Al-Shabab, ISIS nk. kama ulivyosema Ugaidi ni mpigania Uhuru kwa mwingine na hawa wote wanadai wanapigania Uhuru wa kidini ili kuweka Islamic Law (Sharia). Swali langu ni kwamba ni kweli mafundisho yenu yanawataka mfanye Ugaidi?
Elimu yangu mimi wewe inakusaidia nini kuijuwa?Unakwepa point unazoulizwa. Watu wanataka kujua elimu yako.
Kutoka na michango yako humu ndani, wangependa kujua.. umefika university, su level gan ya elimu?
Sent using Jamii Forums mobile app