Madame Nikupongeze kwa jitihada na uimara wako,hasa ktk kuitetea na kuwasemea wanaoonewa
~kwa nini huwa unamwita Baba wa Taifa...'Mzee Nyerere'
~je ungepata nafasi ya kumuuliza Mh.Rais swali kwa niaba ya wajasiriamali/wafanyabiashara wa kati..ungeuliza/ungeshauri/ungetaka nini kwa niaba yao.!??
~kwa nini wapinzani awamu hii wanapata tabu sana?
~je Leo hii ukitambua mwanao au mjukuu wako amejiunga na alshaabab/ISIS...utamshaurije?
~hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya wale 'NDUGU zetu' wa kibiti waliokimbilia Msumbiji ni uonevu.!?
Sent using
Jamii Forums mobile app