kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
Asalaam aleykum FaizaFoxy karibu kwenye hard talk, ningependa kufahamu yafuatayo..Samahani sana jana kidogo mtandao kwetu ulikuwa unaingia na kutoka.
Tunaweza kuendelea leo kwani naona mtandao upo vizuri.
1. Wewe ni kabila gani?
2. Je umejaliwa kuwa na watoto? Ni wa ngapi kama wapo.
3. Umesoma hadi kiwango gani cha elimu
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app