King _Of_Everything
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 695
- 1,354
Mkuu umesoma Heading ya huu Uzi? Mbona tunaenda sawa tu na Madam mwenyewe wewe kinakukera nini.Sasa kaka si ameahakujibu pale juu. Mbona unarudisha mambo nyuma? Amesema uislam haufundishi mtu kuwa gaidi na ili kuekewa zaidi akakupa nyuzi ya kuifuata ili upate ufunuo zaidi. Sasa tena unarudisha kule kule. Ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya Madam nashukuru kwa majibu, ngoja niwapishe na wengine.Nimeshajibu juu kidogo huko rudia posts.
Kupongezasyndrome!Sasa huo upunguani. Nimekwepa nini na nimekujibu kwa muono wangu? Au kuna majibu ulishayapanga ujibiwe? Si ungenambia tu, swali hili nataka jibu hili.
Sharia haimkatazi mtu kupata elimu yeyote ile. Nadhani hafahamu kuwa hakuna dini iliyosisitiza kusoma kama Uislam. Aya ya kwanza ya Qur'an kushushwa ni "Soma".
Hivi " madrasa" unaoisikia unafikiri nini zaidi? Unajuwa kuwa neno "madarasa" la Kiswahili limetokana na hilo "madrasa"? Limit ya masomo ya madrasa ni Mwalimu au waalimu tu wanaofundishwa. Hakuna somo lisilofundishwa madrasa. Kumbuka hilo.
Neno "shule" ukienda Somalia hawalifahamu hilo, labda huyo Msomali ajuwe Kiswahili au Kijerumani kwani neno hilo limetokana na Kijerumani.
Nnaamini mtu ukiwa mjinga ndiyo unakubali kila unaloambiwa bila hata ya kufikiri au kuuliza.
Nakupongeza sana wewe kwa kuuliza kwani unaonesha unayosikia hayakuingii akilini. Hiyo ni akili nzuri.
Mkuu hakuna awamu mbaya iliyonyanyasa watoto wa kiislam kielemu huku inawachekea Kama awamu ya kwanza, naomba nikusaidie ukubali ukatae watoto Islam wanaakili Sana, yule anayeongoza madrasa hata shuleni anaongoza ila mmeaminishwa kwamba Islam hawana akili si kweli, niishie hapohapa umedanganya uma,mbona mimi nimesoma na rafiki zangu waislam na walikua wanapasua tu ,na waliokua wanafeli ni wale vilaza tunaowajua.sasa nyinyi wengi wenu mnakesha madrasa ,elimu ya darasani mnaiona ya kikafiri halafu mnataka mfaulu sawa na wakristo ambao shule ndio kipaumbele namba moja elimu ya biblia ni mpaka sunday school au kipindi cha dini .mpaka leo unguja na pemba ndio shule zinazoshika mkia kwenye mitihani ya kitaifa vp ndalichako bado anawafatilia huko ?punguza mihemko ya kidini mama
Hapa umejibu vizuriMagufuli yupo vyema sana, sema wazee wenye diplomasia wangempiga msasa kidogo kwani kuna vitu anavyoweza kuongea vikatafsirika vibaya. Na watendaji wanamuigs style yake nadhani wangejielekeza zaidi kwenye usimamizi na uwezeshaji kama alivyofanya jana na juzi kuliko kuwa kwenye kudhibiti tu.
Kwa mikutano yake ya hivi karibuni, nahisi kama anaisoma JF na anafanyia kazi maoni yetu, soma huu uzi: Tahadhari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya: Maigizo mnayofanya yatawagharimu... - JamiiForums
sasa nyie mnan'ang'ania madrasa mtafaulu vp,acha uongo eti anayeongoz madrasa na shuleni ataongoza huo ni uongo hata kama yupo basi ni mmoja kati ya milioni ,hakuna asiyejua mshika mawili moja humponyoka.kwanza ile kauli ya muislam ndugu yake ni muislam mnainyenyekea kama sala ya bwana ndo mana mnazidi kufeli maana mnashirikiana nyinyi kwa nyinyi kipofu anamuongoza kipofu.angalau siku hizi jamii imeamka uislam hauna nguvu kama zamani watu wamestuka kua walikua wanapotea ndio maana hata elimu imeamkaMkuu hakuna awamu mbaya iliyonyanyasa watoto wa kiislam kielemu huku inawachekea Kama awamu ya kwanza, naomba nikusaidie ukubali ukatae watoto Islam wanaakili Sana, yule anayeongoza madrasa hata shuleni anaongoza ila mmeaminishwa kwamba Islam hawana akili si kweli, niishie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umejibu vizuri
Lakini Unadhani nini kifanyike ili tuwe democratic country ya kikweli kweli, bila hizi elements za kikoloni ?!.
Na je Unadhani ni kwa nini CCM hawako tayari kwa katiba mpya ya wananchi ?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mjanja sana. Mungu wa mbinguni akulinde [emoji120][emoji106]Kwa mtazamo wangu, demokrasia ya kweli duniani hakuna kwani kila mmoja anatafsiri ya demokrasia.
Binafsi ningependelea sana sheria ziwe juu ya kila mtu, si Rais, si yeyote yule na iwe huru haiingiliwi na yeyote yule.
Nadhani kubwa ulilotaka kulisema ni juu ya Islam kuwa wamoja maana sijaona sababu ya wewe kuliingiza humo, Mimi nimezunguzia elimu huo umoja umeingiaje? Hata hivyo sikulazimishi uamini ninachokiongea wahusika wanajua hilo kwa heri.sasa nyie mnan'ang'ania madrasa mtafaulu vp,acha uongo eti anayeongoz madrasa na shuleni ataongoza huo ni uongo hata kama yupo basi ni mmoja kati ya milioni ,hakuna asiyejua mshika mawili moja humponyoka.kwanza ile kauli ya muislam ndugu yake ni muislam mnainyenyekea kama sala ya bwana ndo mana mnazidi kufeli maana mnashirikiana nyinyi kwa nyinyi kipofu anamuongoza kipofu.angalau siku hizi jamii imeamka uislam hauna nguvu kama zamani watu wamestuka kua walikua wanapotea ndio maana hata elimu imeamka
huo umeoja wa kijinga ndio unaowafelisha halafu mnalialia .mkristo ndugu yake ni binadamu yoyoteNadhani kubwa ulilotaka kulisema ni juu ya Islam kuwa wamoja maana sijaona sababu ya wewe kuliingiza humo, Mimi nimezunguzia elimu huo umoja umeingiaje? Hata hivyo sikulazimishi uamini ninachokiongea wahusika wanajua hilo kwa heri.
Sent using Jamii Forums mobile app
1) Heshima kubwa ya uzee anayo, angekuwa Muislam ningemuita Sheikh Nyerere, Sheikh kwa maana ya uzee wake. Kwa Tanzania nikimuita Sheikh sintoeleweka.Madame Nikupongeze kwa jitihada na uimara wako,hasa ktk kuitetea na kuwasemea wanaoonewa
~kwa nini huwa unamwita Baba wa Taifa...'Mzee Nyerere'
~je ungepata nafasi ya kumuuliza Mh.Rais swali kwa niaba ya wajasiriamali/wafanyabiashara wa kati..ungeuliza/ungeshauri/ungetaka nini kwa niaba yao.!??
~kwa nini wapinzani awamu hii wanapata tabu sana?
~je Leo hii ukitambua mwanao au mjukuu wako amejiunga na alshaabab/ISIS...utamshaurije?
~hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya wale 'NDUGU zetu' wa kibiti waliokimbilia Msumbiji ni uonevu.!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu Kisiju, wazee walikuwa na mashamba hapo jirani ya Kisiju, Shungubweni - Mkuranga, ndipo ninapoishi sasa, nimezaliwa na kusoma shule za awali Dar Es Salaam.
Mwenyewe umekiri "wanapasua tu", huko "kupasua" kwao ndiko kulimfanya Ndalichako awapunguze speed.hapa umedanganya uma,mbona mimi nimesoma na rafiki zangu waislam na walikua wanapasua tu ,na waliokua wanafeli ni wale vilaza tunaowajua.sasa nyinyi wengi wenu mnakesha madrasa ,elimu ya darasani mnaiona ya kikafiri halafu mnataka mfaulu sawa na wakristo ambao shule ndio kipaumbele namba moja elimu ya biblia ni mpaka sunday school au kipindi cha dini .mpaka leo unguja na pemba ndio shule zinazoshika mkia kwenye mitihani ya kitaifa vp ndalichako bado anawafatilia huko ?punguza mihemko ya kidini mama