Ukiwa na ratiba konki lazima uifuate mkuu
Uongozi ndio utakaoweka Katiba imara, na Katiba ndio itayoweka Uongozi imara.Kati ya uongozi na sheria zinazosimamia uongozi..mf. Katiba.. Kipi ni tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuna watu hum Jf hata uzunguke Jf nzima hutokaa uone like yao, unawazungumziaje watu hawa, unadhani ni watu wa aina gani kwenye maisha yao halisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Avatar nilitafutiwa na mdada mmoja wa humu JF(naomba nisimtaje)Kuna story gani nyuma ya hiyo avatar? mwifwa wa jf ni yule yule wa *********?
Nashukuru kwa majibu yako, swali la pili liko njianiNimehitimu pale
She ambae hana chura kama wewe hatakiwi hapa!
Mkuu mbona unanicheka[emoji85][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nimejiuliza umewazia nini mpaka kuandika hivi nikajikuta nacheka tu, duh....!
Nmekubali mkuu_ but kuna waziri Wa mikopo muhas alipotea mwaka 2015 jee alipatikana na kwanini alipoteaUongozi ni hekima, busara na upendo kwa wote anaowaongoza.
Najisikia vibaya sana.
Hili jambo serikali inatakiwa iliangalie kwa umakini sana.
Kusoma kozi za Afya hasa kwa MUHAS bila kuwa na mkopo/boom/au mfadhili mwingine(halafu ujigharamie mwenyewe hasa kwa mwananchi wa kawaida mwenye kipata kidogo na sio tajiri) ni hatari sana.
Mimi nilikuwa na mkopo asilimia zote lakini shule ilinipeleka puta sana(japo tunatofautiana kiakili) hadi nikasahau kula bata kama jinsi nilivyotegemea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utoaji mimba sio mzuri kiafya, una madhara ikiwemo kuharibu kizazi.1. Ukiwa kama mdau wa afya unalichukuliaje suala zima la Utoaji mimba kwa ujumla wake
Hapana2. Je, umewahi kushiriki kwa namna yoyote ile katika utoaji mimba.
3. Unaishauri nini serikali katika kuruhusu utoaji mimba.
Tahadhari kabla ya hatari muhimu sana.Habari za wakati mkuu.
Nimepitia baadhi ya comments nimeona umejipambambanua kuwa wewe ni mdau wa sekta ya afya.
Naomba mtizamo wako kwa haya machache...
1. Hivi majuzi takwimu kutoka wizara ya afya kuhusu vifo zimeonesha ugonjwa wa homa ya mapafu kusababisha vifo vingi. Je, nini kifanyike kunusuru/kupunguza hili?
Sera ya uchangiaji ibadilishwe ili watu wengi waweza kuchangia/kujiunga hata wale wenye vipato vya chini.2. Mwamko kwenye suala la bima za afya bado ni mdogo kwa wengi wetu... Je, sera zibadilishwe hasa kwenye uchangiaji au serikali iongeze ruzuku na upatikanaji wa bima uwe nafuu?
Kuna kupanga na kutekeleza.3. Bado huduma kwa wazee na wajawazito linakuwa tatizo kwa jamii zetu.... Bima ya afya waliimplement huduma ya dirisha la wazee, sjui hii imeishia wapi. Tunakosea wapi?
PoaNaomba niishie hapa kwa sasa...
Nimelijibu.
Ndio lakini wajiridhishe kwanza na hayo madai yaoWagonjwa wanaotendewa hivyo unawashauri kufungua kesi dhidi ya madaktari na wizara ya afya?
3. Bado huduma kwa wazee na wajawazito linakuwa tatizo kwa jamii zetu.... Bima ya afya waliimplement huduma ya dirisha la wazee, sjui hii imeishia wapi. Tunakosea wapi? [/quote]Kuna kupanga na kutekeleza.Tahadhari kabla ya hatari muhimu sana.
Jamii ielimishwe kuhusu ugonjwa huu. Jinsi unavyoambukizwa, dalili zake na namna ya kujikinga mwenyewe kabla ya kwenda hospital.
Huduma za afya ziboreshwe, ili huu ugonjwa uweze kutibiwa sehemu nyingi(kwenye vituo vingi vya afya)Sera ya uchangiaji ibadilishwe ili watu wengi waweza kuchangia/kujiunga hata wale wenye vipato vya chini.
Serikali ikiongeza ruzuku kwenye Bima ndio itafanya sera ya uchangiaji iweze kutekelezwa vizuri.
Sio nzuri japo na mimi ni miongoni[emoji3][emoji3][emoji3]
Sio nzuri japo na mimi ni miongoni[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi pia sina ratiba ya kulala ila kuamka lazima niiheshimuMie ratiba ya kulala napenda sana kuwa nayo lakini inanishinda too many disruptions ila ya kuamka ni lazima niiheshimu.
KaribuNashukuru kwa majibu yako, swali la pili liko njiani
"ᵀʰᵉ ᵒⁿˡʸ ˢᵒᵘʳᶜᵉ ᵒᶠ ᵏⁿᵒʷˡᵉᵈᵍᵉ ⁱˢ ᵉˣᵖᵉʳⁱᵉⁿᶜᵉ"
Ngoja na mimi nifuatilie hilo jambo kwa kina maana niliwahi kusikia piaNmekubali mkuu_ but kuna waziri Wa mikopo muhas alipotea mwaka 2015 jee alipatikana na kwanini alipotea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]