Hahahaaa. Hapo kwenye red nimekuiga ujue. πππ
Nafurahi kusikia uko poa. Haya uwe na Weekend njema. πππ
Hahahaaaa. Lol.πππππ hivyo eh! Hii ID haikuwemo kwenye makabrasha yangu unalijua hilo. Kwa hiyo BAK hana kosa. πππ
Kuna watu hum Jf hata uzunguke Jf nzima hutokaa uone like yao, unawazungumziaje watu hawa, unadhani ni watu wa aina gani kwenye maisha yao halisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwambaaaali naona this could be the trick questions....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mh mjumbe kuangushana kumeanza lini?[emoji3]Kwambaaaali naona this could be the trick questions....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ingawa kwa muhenga kama mimi tayari nimepata jibu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ndugu yangu namkubali sana. Good fella
Mh mjumbe, naona hauja niangusha kutoka kwenye jibu namba moja[emoji12] [emoji12]Avatar nilitafutiwa na mdada mmoja wa humu JF(naomba nisimtaje)
Sijui maana yake, mimi naona tu ni picha ya kawaida ila jinsi anavyoonekana kuwa serious ndio na mimi huwa niko serious hivyo hivyo(kwa mtu ninayefahamiana ni full kuchangamka na kutabasamu isipokuwa kwa ambaye sijazoeana wala kufahamiana naye)
NaUnGa mKoNo hOjAHuyu ndugu yangu namkubali sana. Good fella
Ohhhppppssss.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]Mh mjumbe kuangushana kumeanza lini?[emoji3]
Mh mjumbe kutokukuangusha ni taboo kwangu..[emoji3][emoji3]Mh mjumbe, naona hauja niangusha kutoka kwenye jibu namba moja[emoji12] [emoji12]
Sitajisikia vizuri.Mwifwa utajisikiaje mwanaume mwingine akikupokonya tonge mkononi???
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukiwekwa kikaangoni 'unidip' ili nikapande juu ya mti network isinisumbue ili niweze kukuswalika vya kutosha[emoji6]Kuna watu hum Jf hata uzunguke Jf nzima hutokaa uone like yao, unawazungumziaje watu hawa, unadhani ni watu wa aina gani kwenye maisha yao halisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiwa wananiswalika mimi nitaweka wazi ndoa yangu na yule mume wetu sijui sura yako utaweka wapiSiku ukiwekwa kikaangoni 'unidip' ili nikapande juu ya mti network isinisumbue ili niweze kukuswalika vya kutosha[emoji6]
Hongera Mwifwa kwa kujibu vyema maswali yote uliyoulizwa. Nimezidi kukupenda[emoji8]
Nakushauri usithubutu kumweka hadharani maana utajiongezea idadi ya maadaui hapa.Wakiwa wananiswalika mimi nitaweka wazi ndoa yangu na yule mume wetu sijui sura yako utaweka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nawaogopa? Waendelee tu kula kwa macho mimi nakula tu raha hahaa au wakitaka watakuwa michepuko, nahisi na hadi tuko itavurugikia hapoNakushauri usithubutu kumweka hadharani maana utajiongezea idadi ya maadaui hapa.
Hivi unadhani ametuvutia sisi wawili tu? Yamkini wapo wengine mia wanaovutiwa nae... Be careful
Avatar nilitafutiwa na mdada mmoja wa humu JF(naomba nisimtaje)
Sijui maana yake, mimi naona tu ni picha ya kawaida ila jinsi anavyoonekana kuwa serious ndio na mimi huwa niko serious hivyo hivyo(kwa mtu ninayefahamiana ni full kuchangamka na kutabasamu isipokuwa kwa ambaye sijazoeana wala kufahamiana naye)