Jf Hard Talk "Mwifwa"

Jf Hard Talk "Mwifwa"

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰ hivyo eh! Hii ID haikuwemo kwenye makabrasha yangu unalijua hilo. Kwa hiyo BAK hana kosa. πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š

Hahahaaa. Hapo kwenye red nimekuiga ujue. 😎😎😎

Nafurahi kusikia uko poa. Haya uwe na Weekend njema. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Avatar nilitafutiwa na mdada mmoja wa humu JF(naomba nisimtaje)

Sijui maana yake, mimi naona tu ni picha ya kawaida ila jinsi anavyoonekana kuwa serious ndio na mimi huwa niko serious hivyo hivyo(kwa mtu ninayefahamiana ni full kuchangamka na kutabasamu isipokuwa kwa ambaye sijazoeana wala kufahamiana naye)
Mh mjumbe, naona hauja niangusha kutoka kwenye jibu namba moja[emoji12] [emoji12]
 
Mwifwa utajisikiaje mwanaume mwingine akikupokonya tonge mkononi???

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitajisikia vizuri.

Ila siku zote ukiwa unafanya jambo ni vizuri uwe tayari na kujiandaa na matokeo ya aina yoyote yatakayotokea kuhusu hilo jambo.

Akili yako inatakiwa uiandae kupokea matokeo ya pande mbili, ama matokeo mazuri au mabaya, usiiweke akili kwa matokeo ya upande mmoja tu maana yakitokea ya upande mwingine utaumia sana.

NB: Kupambana ni muhimu ila ukishindwa ni vyema ukubaliane na hali na uendelee na mipango mingine kwa kutorudia makosa tena
 
Kuna watu hum Jf hata uzunguke Jf nzima hutokaa uone like yao, unawazungumziaje watu hawa, unadhani ni watu wa aina gani kwenye maisha yao halisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukiwekwa kikaangoni 'unidip' ili nikapande juu ya mti network isinisumbue ili niweze kukuswalika vya kutosha[emoji6]

Hongera Mwifwa kwa kujibu vyema maswali yote uliyoulizwa. Nimezidi kukupenda[emoji8]
 
Wakiwa wananiswalika mimi nitaweka wazi ndoa yangu na yule mume wetu sijui sura yako utaweka wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri usithubutu kumweka hadharani maana utajiongezea idadi ya maadaui hapa.

Hivi unadhani ametuvutia sisi wawili tu? Yamkini wapo wengine mia wanaovutiwa nae... Be careful
Kwani nawaogopa? Waendelee tu kula kwa macho mimi nakula tu raha hahaa au wakitaka watakuwa michepuko, nahisi na hadi tuko itavurugikia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kwenye avatar ya mwifa ni Masego "Maps" Maponyan. a South African television presenter, actor, fashion designer, speaker, model, creative consultant, voice over artist, philanthropist na business entrepreneur.
Avatar nilitafutiwa na mdada mmoja wa humu JF(naomba nisimtaje)

Sijui maana yake, mimi naona tu ni picha ya kawaida ila jinsi anavyoonekana kuwa serious ndio na mimi huwa niko serious hivyo hivyo(kwa mtu ninayefahamiana ni full kuchangamka na kutabasamu isipokuwa kwa ambaye sijazoeana wala kufahamiana naye)
Mwifwa, Avatar yako ina uhusiano gani nawe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom