JF Hard Talk "Zitto junior"

JF Hard Talk "Zitto junior"

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.

Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu zitto junior kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.

Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1; anazungumziaje kifo cha Chacha wangwe?

2; kujiajiri na kuajiriwa IPI ni best soln kwake na IPI ana itumia

Akijibu haya ndo nstue ndo nmswalike maswal sasa
1. Mkuu msichanganye zitto junior na Zitto ni watu wawili tofauti kabisa Avatar isikuchanganye.

Anyway kwa ripoti rasmi ya polisi Mhe Wangwe alifariki kwa ajali ya gari hivyo kwakuwa ajali haina kinga naweza sema ni kazi ya Mungu tu.

2. Kujiajiri na kuajiriwa zote ni sawa kulingana na mahitaji yaliyopo..... Ila kujiajiri ni suala zuri zaidi maana linasaidia kuongeza pato la taifa kuliko mtu angelala nyumbani tu asubiri ajira. Mfano nafasi ya ajira ya ualimu ni 1 ila waliosomea ualimu wako 100 hivyo hao 99 wakifungua tuition center zao au wakaandika vitabu wauze itakuwa ni bora zaidi kuliko wakisubiri ajira maana watasaidia kuchochea uchumi kwa nafasi zao.

Nafkiri nmejibu kwa nafasi yangu
 
Ni kwa nini wapinzani mnajua kabisa kuwa CCM huwa hawategemei kupigiwa kura ili wachukue dola na pia mnajua kabisa kuwa CCM hawawezi kuondolewa kwenye dola kwa njia ya amani(kura) ila bado mko kimya kana kwamba hamlijui hilo?
 
1. Mkuu msichanganye zitto junior na Zitto ni watu wawili tofauti kabisa Avatar isikuchanganye.
Cc @Behaviourist @prince john john

Anyway kwa ripoti rasmi ya polisi Mhe Wangwe alifariki kwa ajali ya gari hivyo kwakuwa ajali haina kinga naweza sema ni kazi ya Mungu tu.

2. Kujiajiri na kuajiriwa zote ni sawa kulingana na mahitaji yaliyopo..... Ila kujiajiri ni suala zuri zaidi maana linasaidia kuongeza pato la taifa kuliko mtu angelala nyumbani tu asubiri ajira. Mfano nafasi ya ajira ya ualimu ni 1 ila waliosomea ualimu wako 100 hivyo hao 99 wakifungua tuition center zao au wakaandika vitabu wauze itakuwa ni bora zaidi kuliko wakisubiri ajira maana watasaidia kuchochea uchumi kwa nafasi zao.

Nafkiri nmejibu kwa nafasi yangu
 
Ok,
Wew mtu wa wap? Yani makazi yako wap

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtanzania kabisa.... Baba yangu ni mkurya wa mkoa wa mara na mama yangu ni Muha wa kalinzi,kigoma

makazi yangu kwa sasa ni mkoa wa Dar ndipo nafanya shughuli zangu.

Kwa JF makazi yangu ni JF intelligence wadau wa kule watakuwa wamenisoma
 
  • zitto junior nimekuwa nafatilia sana posts zako kuhusu history, hasa ukibase upande wa biblia. Ningependa kuuliza, umesomea mambo hayo (Theology), kama hujasomea ilikuwaje uka create interest kwenye hayo mambo?
  • Library yako inafananeje? Nikimaanisha ni vitabu vya aina gani sana ntavikuta kwa wingi kwenye library yako?
Kwanza shukrani kwa kufuatilia mada zangu,

Theology sijasomea ila nilikua na interest sana na mambo ya imani hivyo katika pita pita zangu nikapenda kujifunza zaidi kuhusu imani niliozaliwa nayo kupitia wazangu wangu (ukristo) hivyo ndio nikaanza kufuatilia baadhi ya mambo na nikajenga interest sana kwenye topic hiyo.

''Library'' yangu kwanza inatisha maana inajaa vitabu vya mystery na horror.... Mfano angeology (elimu ya malaika ), greek mythology,apocrypha,Bible,mystery za ajabu mfano bermuda triangle n.k zaidi ya hapo ni vitabu vya historia ahasa ancient history kma egyptology,ancient african empires,middle east history n.k
 
Nadhani utakua mkristo pure
Ok, niambie wew wanalikubali na unasali dhehebu gan ambalo, wajua kuwa ndio kanisa linalo shiriki ibada ya kikamilifu kwa kufata maandiko ya biblia(neno la Mungu)?????
Kwanza shukrani kwa kufuatilia mada zangu,

Theology sijasomea ila nilikua na interest sana na mambo ya imani hivyo katika pita pita zangu nikapenda kujifunza zaidi kuhusu imani niliozaliwa nayo kupitia wazangu wangu (ukristo) hivyo ndio nikaanza kufuatilia baadhi ya mambo na nikajenga interest sana kwenye topic hiyo.

''Library'' yangu kwanza inatisha maana inajaa vitabu vya mystery na horror.... Mfano angeology (elimu ya malaika ), greek mythology,apocrypha,Bible,mystery za ajabu mfano bermuda triangle n.k zaidi ya hapo ni vitabu vya historia ahasa ancient history kma egyptology,ancient african empires,middle east history n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mkuu msichanganye zitto junior na Zitto ni watu wawili tofauti kabisa Avatar isikuchanganye.

Anyway kwa ripoti rasmi ya polisi Mhe Wangwe alifariki kwa ajali ya gari hivyo kwakuwa ajali haina kinga naweza sema ni kazi ya Mungu tu.

2. Kujiajiri na kuajiriwa zote ni sawa kulingana na mahitaji yaliyopo..... Ila kujiajiri ni suala zuri zaidi maana linasaidia kuongeza pato la taifa kuliko mtu angelala nyumbani tu asubiri ajira. Mfano nafasi ya ajira ya ualimu ni 1 ila waliosomea ualimu wako 100 hivyo hao 99 wakifungua tuition center zao au wakaandika vitabu wauze itakuwa ni bora zaidi kuliko wakisubiri ajira maana watasaidia kuchochea uchumi kwa nafasi zao.

Nafkiri nmejibu kwa nafasi yangu
Mimi sina swali, lakini nataka kusema kwamba wewe ni moja kati ya wadau wangu ninaowakubali sana humu jukwaani. Hongera sana mkuu kwa kutumia ubongo wako kwa manufaa ya wengi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom