JF Hard Talk "Zitto junior"

JF Hard Talk "Zitto junior"

Mimi sina swali, lakini nataka kusema kwamba wewe ni moja kati ya wadau wangu ninaowakubali sana humu jukwaani. Hongera sana mkuu kwa kutumia ubongo wako kwa manufaa ya wengi....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah mkuu shukrani kwa kutia timu Nasubiri Hard talk yako nina maswali lukuki......

Ntakuja PM shortly
 
Nadhani utakua mkristo pure
Ok, niambie wew wanalikubali na unasali dhehebu gan ambalo, wajua kuwa ndio kanisa linalo shiriki ibada ya kikamilifu kwa kufata maandiko ya biblia(neno la Mungu)?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siamini dhehebu litatupeleka mbinguni ila nmejikita zaidi mwaka huu kujifunza maandiko (ndio nimeanza darasa rasmi la Biblia) ili nijisimamie kiroho mwenyewe otherwise madhehebu yote yapo sawa tu kikubwa Watende matendo mema na kumtegemea Mungu mengine ni "mbwembwe " tu
 
Unamaanisha hapo mwanzo hukuwa ukisoma biblia sana????
Mkuu siamini dhehebu litatupeleka mbinguni ila nmejikita zaidi mwaka huu kujifunza maandiko (ndio nimeanza darasa rasmi la Biblia) ili nijisimamie kiroho mwenyewe otherwise madhehebu yote yapo sawa tu kikubwa Watende matendo mema na kumtegemea Mungu mengine ni "mbwembwe " tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh!!!
Unaongea na mtalajiwa mchungaji hapa,

"Mtakatifu Suriya"

Be prepared kwa maswali kede kede,
Ila mimi nasoma kitabu kitakatifu bible kwa kuongozwa na Mungu, huwa nasoma na kukielewa kabisa, japo na mm sio mkongwe sana coz sijakimaliza,
Waalimu wengine kama mwl. Mwakasege, huwa wanakimaliza na kuaanza kukisom tena, within year.
Nilikuwa nasoma na kutafsiri kwa akili zangu ila kwa sasa nafundishwa na professional theologians one on one kila siku masaa 4 kwa mwaka mzima..... I hope nitaiva kuanzia genesis mpaka revelation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh!!!
Unaongea na mtalajiwa mchungaji hapa,

"Mtakatifu Suriya"

Be prepared kwa maswali kede kede,
Ila mimi nasoma kitabu kitakatifu bible kwa kuongozwa na Mungu, huwa nasoma na kukielewa kabisa, japo na mm sio mkongwe sana coz sijakimaliza,
Waalimu wengine kama mwl. Mwakasege, huwa wanakimaliza na kuaanza kukisom tena, within year.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kma unaongozwa na Mungu well and good ila kuna umuhimu pia wa kufundishwa na professionals ndio maana kuna wachungaji na wainjilisti mfano hapa naweza kukupa swali dogo tu unisaidie na ukiona linakuchanganya basi ujue hapo itahitaji theologians

Mathayo 24
15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!
20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato
 
Ratiba yako kwa kila siku Zitto junior
Mkuu sina ratiba maalum kwa sasa niko leave ya kimasomo so nafanya course mbili kwa wakati mmoja kuongeza elimu kidogo hivyo muda wote nipo mazingira ya "kusoma soma"

Ni hivi
Saa 12 asbuhi: Kuamka
Saa 1: kusoma bible
Saa 3 asbuhi: Darasi kila asbuhi saa 3 mpaka saa 6 mchana ( short course)

Saa 11 jioni: naingia kipindi saa 11 mpaka saa 3 usiku..... (Postgraduate)

Mengine ni miscallenous ila focus iko hapo juu
 
Naona mkuu Mwifwa unapita kimyakimya.... Tupia swali twende pamoja

Btw nlipenda hardtalk ya juzi
Mkuu kwanza heshima yako.

Nimekutana na hadi toko hii nikiwa nakula, nikastop bila kutarajia ili nione kinachoendelea hadi nikabaki nikiwa nimeshikilia mnofu wa paja la Jogoo wa shamba mkononi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..

Naomba niwe mpenzi mtazamaji maana hiki chakula cha ubongo unachotoa hapa ni cha kiwango cha nyota 5.
 
Somo hilo linaeleweka vizur kabisa mkuu,

Ni maneno ya Yesu
Akiwaambia wanafunz wake siku ya mwisho itakavo kuwa,

Kwan watakao kuwa hai hayo yatawakuta, bora wale ambao ni wafu kwa sasa,
Kwani siku ya mwisho ikikarbia ikakukuta bado upo hai, hayo ndio hutokea.

Na akawapa na fundisho...
Kma unaongozwa na Mungu well and good ila kuna umuhimu pia wa kufundishwa na professionals ndio maana kuna wachungaji na wainjilisti mfano hapa naweza kukupa swali dogo tu unisaidie na ukiona linakuchanganya basi ujue hapo itahitaji theologians

Mathayo 24
15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!
20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato
IMG_20190126_100329.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu wata tapa tapa kutafuta wokovu.
Kma unaongozwa na Mungu well and good ila kuna umuhimu pia wa kufundishwa na professionals ndio maana kuna wachungaji na wainjilisti mfano hapa naweza kukupa swali dogo tu unisaidie na ukiona linakuchanganya basi ujue hapo itahitaji theologians

Mathayo 24
15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!
20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo hilo linaeleweka vizur kabisa mkuu,

Ni maneno ya Yesu
Akiwaambia wanafunz wake siku ya mwisho itakavo kuwa,

Kwan watakao kuwa hai hayo yatawakuta, bora wale ambao ni wafu kwa sasa lakin siku ya mwisho ikikarbia ikakukuta bado upo hai, hayo ndio hutokea.

Na akawapa na fundisho...View attachment 1005684

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu labda sikueleweka
1.nini maana ya kukimbilia mlima Yudea
2. Nini maana ya "wakati wa baridi"
3. Chukizo aliyesimama.... Je mahali Patakatifu ni wapi??

Nilitaka unsiaidie figuratively zina maana gani
 
Back
Top Bottom