Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtanzania (sio mwanaume wa Dar)Wewe ni nani mkuu zitto junior
Kabila lako ni lipi?Ni mtanzania (sio mwanaume wa Dar)
Ni mwembamba,mrefu,mweusi
mcheshi sana hasa akikuzoea
Anapenda kusoma iwe gazeti,article n.k
Hahahahah mkuu shukrani kwa kutia timu Nasubiri Hard talk yako nina maswali lukuki......Mimi sina swali, lakini nataka kusema kwamba wewe ni moja kati ya wadau wangu ninaowakubali sana humu jukwaani. Hongera sana mkuu kwa kutumia ubongo wako kwa manufaa ya wengi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Mkurya na mama Muha so chagua hapoKabila lako ni lipi?
Mkuu siamini dhehebu litatupeleka mbinguni ila nmejikita zaidi mwaka huu kujifunza maandiko (ndio nimeanza darasa rasmi la Biblia) ili nijisimamie kiroho mwenyewe otherwise madhehebu yote yapo sawa tu kikubwa Watende matendo mema na kumtegemea Mungu mengine ni "mbwembwe " tuNadhani utakua mkristo pure
Ok, niambie wew wanalikubali na unasali dhehebu gan ambalo, wajua kuwa ndio kanisa linalo shiriki ibada ya kikamilifu kwa kufata maandiko ya biblia(neno la Mungu)?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siamini dhehebu litatupeleka mbinguni ila nmejikita zaidi mwaka huu kujifunza maandiko (ndio nimeanza darasa rasmi la Biblia) ili nijisimamie kiroho mwenyewe otherwise madhehebu yote yapo sawa tu kikubwa Watende matendo mema na kumtegemea Mungu mengine ni "mbwembwe " tu
Mkuu swali langu umeamua kutojibu Sawa haina shida 🚶♀️🚶♀️🚶♀️Baba Mkurya na mama Muha so chagua hapo
Nilikuwa nasoma na kutafsiri kwa akili zangu ila kwa sasa nafundishwa na professional theologians one on one kila siku masaa 4 kwa mwaka mzima..... I hope nitaiva kuanzia genesis mpaka revelation
Samahani mkuu ngoja nilichekMkuu swali langu umeamua kutojibu Sawa haina shida 🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Hahahhaa juzi nliikosa hardtalk yako iliniuma sana aisee maana nna maswali kma counterbook zima nlipania kuulizaBahati yako mkuu siko na PC tungeenda sambamba kwa maswali. Ila nashukuru kwa majibu yako mku ZJ
Nilikuwa nasoma na kutafsiri kwa akili zangu ila kwa sasa nafundishwa na professional theologians one on one kila siku masaa 4 kwa mwaka mzima..... I hope nitaiva kuanzia genesis mpaka revelation
Kma unaongozwa na Mungu well and good ila kuna umuhimu pia wa kufundishwa na professionals ndio maana kuna wachungaji na wainjilisti mfano hapa naweza kukupa swali dogo tu unisaidie na ukiona linakuchanganya basi ujue hapo itahitaji theologiansOooh!!!
Unaongea na mtalajiwa mchungaji hapa,
"Mtakatifu Suriya"
Be prepared kwa maswali kede kede,
Ila mimi nasoma kitabu kitakatifu bible kwa kuongozwa na Mungu, huwa nasoma na kukielewa kabisa, japo na mm sio mkongwe sana coz sijakimaliza,
Waalimu wengine kama mwl. Mwakasege, huwa wanakimaliza na kuaanza kukisom tena, within year.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sina ratiba maalum kwa sasa niko leave ya kimasomo so nafanya course mbili kwa wakati mmoja kuongeza elimu kidogo hivyo muda wote nipo mazingira ya "kusoma soma"Ratiba yako kwa kila siku Zitto junior
Mkuu kwanza heshima yako.
Kma unaongozwa na Mungu well and good ila kuna umuhimu pia wa kufundishwa na professionals ndio maana kuna wachungaji na wainjilisti mfano hapa naweza kukupa swali dogo tu unisaidie na ukiona linakuchanganya basi ujue hapo itahitaji theologians
Mathayo 24
15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!
20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato

Samahani mkuu labda sikuelewekaSomo hilo linaeleweka vizur kabisa mkuu,
Ni maneno ya Yesu
Akiwaambia wanafunz wake siku ya mwisho itakavo kuwa,
Kwan watakao kuwa hai hayo yatawakuta, bora wale ambao ni wafu kwa sasa lakin siku ya mwisho ikikarbia ikakukuta bado upo hai, hayo ndio hutokea.
Na akawapa na fundisho...View attachment 1005684
Sent using Jamii Forums mobile app