1. Mkuu msichanganye zitto junior na Zitto ni watu wawili tofauti kabisa Avatar isikuchanganye.1; anazungumziaje kifo cha Chacha wangwe?
2; kujiajiri na kuajiriwa IPI ni best soln kwake na IPI ana itumia
Akijibu haya ndo nstue ndo nmswalike maswal sasa
Kumbe sio yeye yaani nilikuwa na maswali nae kama 30 dah.duuuh, nmekupata mkuu bahati yako umejisalimisha mapema nikajua ni zitto kabwe hapa pangepigwa maswali mpaka pangechimbika
1. Mkuu msichanganye zitto junior na Zitto ni watu wawili tofauti kabisa Avatar isikuchanganye.
Cc @Behaviourist @prince john john
Anyway kwa ripoti rasmi ya polisi Mhe Wangwe alifariki kwa ajali ya gari hivyo kwakuwa ajali haina kinga naweza sema ni kazi ya Mungu tu.
2. Kujiajiri na kuajiriwa zote ni sawa kulingana na mahitaji yaliyopo..... Ila kujiajiri ni suala zuri zaidi maana linasaidia kuongeza pato la taifa kuliko mtu angelala nyumbani tu asubiri ajira. Mfano nafasi ya ajira ya ualimu ni 1 ila waliosomea ualimu wako 100 hivyo hao 99 wakifungua tuition center zao au wakaandika vitabu wauze itakuwa ni bora zaidi kuliko wakisubiri ajira maana watasaidia kuchochea uchumi kwa nafasi zao.
Nafkiri nmejibu kwa nafasi yangu
Nipo mkuu watu wanachanganya ID yangu na ya zitto so maswali mengi ya kisiasa wakati huko sipo
Nipo mkuu watu wanachanganya ID yangu na ya zitto so maswali mengi ya kisiasa wakati huko sipo
Ni mtanzania kabisa.... Baba yangu ni mkurya wa mkoa wa mara na mama yangu ni Muha wa kalinzi,kigoma
Kwanza shukrani kwa kufuatilia mada zangu,
- zitto junior nimekuwa nafatilia sana posts zako kuhusu history, hasa ukibase upande wa biblia. Ningependa kuuliza, umesomea mambo hayo (Theology), kama hujasomea ilikuwaje uka create interest kwenye hayo mambo?
- Library yako inafananeje? Nikimaanisha ni vitabu vya aina gani sana ntavikuta kwa wingi kwenye library yako?
Kwanza shukrani kwa kufuatilia mada zangu,
Theology sijasomea ila nilikua na interest sana na mambo ya imani hivyo katika pita pita zangu nikapenda kujifunza zaidi kuhusu imani niliozaliwa nayo kupitia wazangu wangu (ukristo) hivyo ndio nikaanza kufuatilia baadhi ya mambo na nikajenga interest sana kwenye topic hiyo.
''Library'' yangu kwanza inatisha maana inajaa vitabu vya mystery na horror.... Mfano angeology (elimu ya malaika ), greek mythology,apocrypha,Bible,mystery za ajabu mfano bermuda triangle n.k zaidi ya hapo ni vitabu vya historia ahasa ancient history kma egyptology,ancient african empires,middle east history n.k
Mimi sina swali, lakini nataka kusema kwamba wewe ni moja kati ya wadau wangu ninaowakubali sana humu jukwaani. Hongera sana mkuu kwa kutumia ubongo wako kwa manufaa ya wengi....1. Mkuu msichanganye zitto junior na Zitto ni watu wawili tofauti kabisa Avatar isikuchanganye.