JF Hard Talk "Zitto junior"

1.Ningependa kujua zitto junior ana taaluma ipi na kafikia level gani?

2. Zitto junior unazungumziaje juu ya kitabu cha Henoko ni kweli au si kweli? Pia vipi kuhusu DAVID ICKE unamzungumziaje na theory zake anazotoa?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndiyo unaponikoshaa Zitto Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamm endapo ningekua na dini ambayo inamapungufu, hakika nisinge jiita mkristo, ningekomaa na upagani tu.

Hadi pale MUNGU angeamua kunionesha njia ipasayo yeye mwenyewe,

Niseme kitu, BIBLE tunaisoma ili itusaidie katika maisha yetu ya kila siku.

Sasa naomba siku ukipata mafundisho ambayo yanamfundisha binadamu na mafundisho hayo hayapo kwenye bible, naomba uniletee, nione kama kweli fundisho hilo halipo kabisa kwenye bible,
HAPO NDIO NITASHAWISHIKA KUSOMA VITABU NJE NA BIBLIA

Maana lengo ni moja MAFUNDISHO, Unaongeza maarifa na hekima pamoja na ukaribu na MUNGU ili kuweza kupeleka shida zetu kwake ambazo kibinadamu hatuwezi kutatua kwa nguvu zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua na sababu tano, ambazo sita zisema kwa sasa kwani Catholiki mmekwisha fanya malekebisho katika mambo hayo, ni mambo yaa zaman sana ambayo kanisa lilikua likikosea.

Lakin hadi sasa yapo baadhi ambayo kanisa catholiki haliend sawa.

Naweza kukutajia moja wapo la wakati huu, yalio pita achana nayo.
Roman Catholiki walikosea wapi mpaka Martin Luther akaamua kujitoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam.Ningependa kujua walau hilo jambo moja.
 
Katika kanisa la Catholic ni kanisa ambalo wakristo wake hawashiriki kikamilifu Meza ya bwana.

Yani kuula mwili wake Yesu na kuinywa damu yake,
Kwa kula na kunywa mkate na divai.

Ni wazi katika hili kwa kanisa hili, kumekua na kipindi cha
wakristo hupewa mkate pekee na divai kuishia kuisikia kwenye bomba tu.

KAMA UNAFAHAMU KWANN TUNASHILIKI MEZA YA BWANA, UTAJUA NI KWANN KUNA UMUHIMU MKUBWA WA KUFANYA JAMBO HILI NA KWA UKAMILIFU
Naam.Ningependa kujua walau hilo jambo moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kanisa Catholic peke yake madhehebu mengi ya ki Kristo yanaendesha Mambo kwa misingi ya faida binafsi wamepoteza uhalisia wa mafundisho ya Biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia maisha ya useja yalimshinda Martin Luther.Alianzisha mtafuruku ili aoe.
 
HHahahaaaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1]
Ni mengi sana yanaweza kusemwa,
kwan wapinga kristo wapo wengi sana dunian,
na madhehebu yanayo kosea ni mengi sana dunian.

Muhimu kufanya kama ilivo andika bible.

Kuna siku niliyasikia haya katika redio,
radio channel- FARAJA FM, NI radio ya wakatolic

Siku hiyo katika hicho kipind walisema mjue Martin Luther

Wakanza kusema sifa zake:

-alikua akivuta sigara lakini hakuwahi kuonekana na mtu yeyote kuwa alikua kivuta sigara.
-Aliwahi kujarbu kujinyonga baada ya kifo cha bibi yake.
-Alikua na.akili sana kwakupata masomo yake yote A, lakini alifall somo moja la COMMUNICATION kwa kupata alama C ila masomo mengine yote alikua ni A mwanzo mwisho.

Sifa zingine walizo toa nimezisahau, lakini zilifika kama 5 tu, na zote ni kuonesha weakness za jamaa.

Sasa yeye hata kama alikua mpiga punyeto mm sitaki kujua.
Hayo ni yake.
Mengi hsemwa duniani kwani..
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ya mwanadamu ni mengi,
Ya MUNGU ni mema na matakatifu,
ya mwanaume ni makagale,
Cha mwanamke ni kibwenye,
naya kuku ni mayai.
Nasikia maisha ya useja yalimshinda Martin Luther.Alianzisha mtafuruku ili aoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…