HHahahaaaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1]
Ni mengi sana yanaweza kusemwa,
kwan wapinga kristo wapo wengi sana dunian,
na madhehebu yanayo kosea ni mengi sana dunian.
Muhimu kufanya kama ilivo andika bible.
Kuna siku niliyasikia haya katika redio,
radio channel- FARAJA FM, NI radio ya wakatolic
Siku hiyo katika hicho kipind walisema mjue Martin Luther
Wakanza kusema sifa zake:
-alikua akivuta sigara lakini hakuwahi kuonekana na mtu yeyote kuwa alikua kivuta sigara.
-Aliwahi kujarbu kujinyonga baada ya kifo cha bibi yake.
-Alikua na.akili sana kwakupata masomo yake yote A, lakini alifall somo moja la COMMUNICATION kwa kupata alama C ila masomo mengine yote alikua ni A mwanzo mwisho.
Sifa zingine walizo toa nimezisahau, lakini zilifika kama 5 tu, na zote ni kuonesha weakness za jamaa.
Sasa yeye hata kama alikua mpiga punyeto mm sitaki kujua.
Hayo ni yake.
Mengi hsemwa duniani kwani..
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ya mwanadamu ni mengi,
Ya MUNGU ni mema na matakatifu,
ya mwanaume ni makagale,
Cha mwanamke ni kibwenye,
naya kuku ni mayai.
Nasikia maisha ya useja yalimshinda Martin Luther.Alianzisha mtafuruku ili aoe.
Sent using
Jamii Forums mobile app