JF Hatd Talk "Malcom Lumumba

JF Hatd Talk "Malcom Lumumba

Msimamo wangu ni ule ule: tunahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye mfumo wa elimu kama tunataka kwenda na kasi ya dunia.
Wasomi wa Uchina wamesema kwamba ndani ya miaka kumi hadi kumi na tano kuna taaluma zaidi ya 15 ambazo zitapotea kutokana na kuzaliwa kwa Artificial Intelligence. Kama nchi sisi tumejiandaa vipi ???
Nimekukubali 100 percent.

Kwa mala ya kwanza nampata mtu muelewa humu JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom