serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Habari wakuu,
Mimi ni member kwenye group moja huko Facebook. Members wanajadili sana mambo ya ujenzi mpaka wamefikia level za kuonana na kufanya vikao kujadili mambo mbalimbali. Hao wadau walifanya jambo moja ambalo mpaka kesho litanifurahisha. Waliji organise, wakanunua eneo/shamba la acres kama 200, huko Bagamoyo. Kila mdau alipewa acres zake kulingana na pesa aliyota. Walitafuta ma surveyor, wakapimiwa mpaka sasa watu wameshapewa documents zao zote zinazo husu umiliki wa lile eneo.
Hapo ndipo likanijia wazo la housing scheme. Humu ndani kuna wadau wengi wanauza viwanja, kwa mfano ndugu Gezaulole, Bizney, na wengine wengi. Viwanja vingine unakuta viko potential kabisa kwa bei nzuri tu. Sasa, kweli inashindijkanaje, kwa mfano,
Na kama hayo yote yanawezekana, definately wana JF tunaweza kuji organise, tukanunua viwanja vikumba na tukajenga nyumba za gharama nafuu, tukaishi, tukauza na tukakodisha. Na huu mradi tunaweza kuita JF HOUSING SCHEME or anyother appropriate name. In the event, inaweza kuwa biashara kubwa sana hapo baadae.
Wadau, nyie mna mawazo gani juu ya hili?
Nawasilisha.
cc Zamazamani frozen msani Realtor Kingdom_man Mchambuzi Candid Scope ZeMarcopolo na wengine woote wenye interest na REAL ESTATE.

- Wana JF 8 wakanunua kiwanja kimoja..mfano chenye ukubwa wa 40x60m[SUP]2 [/SUP]
- Wakatafuta architect aka design majengo mawili, kila jengo likiwa na floors mbili, kila floor ikawa na units mbili, na kila unit ikawa na vyumba vitatu au viwili, sitting room, kitchen, public toilet na store. (jumla ni units nane)
- Hao wana jf wakatafuta Qs akawapa gharama za ujenzi wa hayo majengo yao.
- Wakachanga pesa, wakamtafuta contractor akawafanyia ujenzi.
- Ujenzi ukakamilika, kila mtu akapewa hati yake (unit title) ya unit anayo imiliki.
- Mwana JF akahamia kwenye unit yake, akauza, au akakodisha.
Na kama hayo yote yanawezekana, definately wana JF tunaweza kuji organise, tukanunua viwanja vikumba na tukajenga nyumba za gharama nafuu, tukaishi, tukauza na tukakodisha. Na huu mradi tunaweza kuita JF HOUSING SCHEME or anyother appropriate name. In the event, inaweza kuwa biashara kubwa sana hapo baadae.
Wadau, nyie mna mawazo gani juu ya hili?
Nawasilisha.
cc Zamazamani frozen msani Realtor Kingdom_man Mchambuzi Candid Scope ZeMarcopolo na wengine woote wenye interest na REAL ESTATE.
Last edited by a moderator: