Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wapo mpaka wanaokunywa dompo bila kutumia glass 😀 😀🤣🤣🤣Humu tuko kina much know au sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mpaka wanaokunywa dompo bila kutumia glass 😀 😀🤣🤣🤣Humu tuko kina much know au sio?
Kucheka ni muhimu ili mwili uweze kupumua🤣🤣🤣🤣🤣Hatari sanaaaa,hakika Umenichekesha
Ni Manka Dada kipenzi...Na wewe ni manka mdogo wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maki hakika hili ni pepo..
Hajanipigia simu tangu asubuhi tayari kisirani kinakaba roho[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]nimefura
Aaaaaaaah.....Mama yangu ni shangazi Yako[emoji16][emoji16]
Mapenzi yanaitaji uwe open kama hujaniuliza abadani siwezi kukwambia mbn tunaambiwa wanaume wote waliopo ktk mitandao ya kijamii wote Malaya kwani ni kwer😂😂😂Samaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.
Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music, basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba, halafu tab nyingine nilifungua JF, sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako.
Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye, mimi Niko zangu napikapika, basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.
Baby una account Jamii forum? Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁 Eeeeeh bwana nilisimangwaaa, nilisomewa risala, niliambiwa sifai kabisa, mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF, JF, JF sipumui, mpaka safari ikaishia njiani.
Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣? Eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
NB: Nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake, nikabadili zangu ID chaaaa.
Happy Maulid to all.
Hamuwezi kuaminiana abadaniSi mdada tu ila kuwa hata na mwanaume wa jf ni kipengele kitupu.......japo wema wapo pia
Ukiniona koridoni sipo tugongeane milango jamani usingizi ni kifoNipo ndugu yangu..ni vile hatukutani mara Kwa mara mitaa ya jf
😳Ukiniona koridoni sipo tugongeane milango jamani usingizi ni kifo
Ndio mzee kama kuna member ujamuona siku nyingi jukwaani unamfata PM
HawajibuNdio mzee kama kuna member ujamuona siku nyingi jukwaani unamfata PM
Tunaweza kaa kumbe mtu umejifia PM uko
Akiwa hajajibu ujue kafa😅Hawajibu
Apa swala la dhana potofu linatoka wapi ikiwa ukwer hamjawekana bayanaHiyo ni dhana potofu, waafrica bado tuna safari ndefu