Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaUtasikia hebu njoo inbobo🙄🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaUtasikia hebu njoo inbobo🙄🙄🙄
😀😀😀Yan tunaishia kuoana wenyewe kwa wenyewe wakili kwa wakili🤣🤣🤣🤣
Miaka ijayo tutazoea tuu ila kwa sasa bado ni changamoto sanaChangamoto sana
😅😅😅 yaani hutaki Wazee MjukuuMmh babu we utarudi tu nyumbani ukimaliza kunywa supu na wine
Mkuu haya mambo hayana komando😃😃😃Hatari sana Mkuu 😅
Labda asiwe mtu wa kuyaleta maisha ya jf katika mahusiano yetukwahyo mwanaume wako akitumia jf unaweka walakini?
😆😆😆Mkuu haya mambo hayana komando😃😃😃
🤣🤣🤣🙌Saundii nyingi alafu pesa hatuna nehii
Kwa kweli Mkuu, sikuwahi kuamini kwamba yangeweza kunikuta katika umri huu wa miaka 78 niliyonayo 🙌Mkuu haya mambo hayana komando😃😃😃
Yaani unakaa ukiwinda nani ananichinjia ngamia wangu 😂Kama una roho nyepesi unaweza kuwai Pm ya mtu aliyemwita muongee kiume😃😃😃
Usiihusishe Maulid na uasherati na uzinzi wako. Koma.Samaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History.
Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea,Kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda sana kumsikiliza Country music,basi nikawa nimewasha laptop zile miziki zinaimba,halafu tab nyingine nilifungua JF,Sasa yule bwana alivyofika Mimi napikapika akasema bwana mi natoa Hawa wababu wako,
Nia abadilishe aweke miziki anayopenda yeye,Mimi Niko zangu napikapika,basi Ile anaendelea kushikashika laptop nikasikia naulizwa.
Baby una account Jamii forum?
Mi kiroho safi nikamjibu eeh mbona siku nyingi😁😁
Eeeeeh bwana nilisimangwaaa,nilisomewa risala,niliambiwa sifai kabisa,Mimi sio wife material,maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
Basi kila mkitofautiana utakisia wewe umeshaharibika sababu ya JF🙄,ikawa JF,JF,JF sipumui,mpaka safari ikaishia njiani...
Sasa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
NB:nilihisi lazima na yeye ni member humu ila sijui ID yake,nikabadili zangu ID chaaaa..
Happy Maulid to all
Hahaha.................hasa tukishalewa, hatuchelewi kukupa kadi na nywila ili ukatoe salio benki 😅Mnasumbua tu na mapengo yenu bhana
Umri umenitupa mkono Mjukuu 🤪Miaka 78 mchezo
Rafiki Angu acha tuu😃
Si mlishasema Ngombe hazeeki mainiKwa kweli Mkuu, sikuwahi kuamini kwamba yangeweza kunikuta katika umri huu wa miaka 78 niliyonayo 🙌
Na hapo hata hamjafika jangwani😀😀na ngamia wako ni Jf tu umeshindwa kuvumiliaYaani unakaa ukiwinda nani ananichinjia ngamia wangu 😂