JF ilivyoua huba langu

JF ilivyoua huba langu

😃😃😃Hapo ndo kabisaa unakatwa maini

Kwa mila zetu hizi mwanamke akijua kila kitu na penyewe ni shida tulishakalilishwa mwanaume ni kichwa mwanamke anafata

Sasa kama yupo humu... na unapingana na mambo ya usawaa utaona ndoa chungu
Ni tatizo haswa mwanamke kuwa mjuaji
 
asa nikawa nashangaa Ina maana wadada tulio JF tuna tabia mbaya kiasi hiki🤣??eti kina kaka mkigundua wapenzi zenu ni member wa JF mtakasirika?
Itakua alitumia ID nyingine kukutongoza ukakataa
 
😃😃😃😃Mkigombana usiku unamkuta kwenye ule uzi wa Jf usiku wa manane anachati zake wakuu wanamchekesha yeye bila hiyana anajiachia tuu full kucheka😃😃😃

Hiyo ndoa ikimaliza mwaka basi mliumbwa kukaa pamoj😃
Hahahahahahahaha
 
Wanaojichanganya 🤣🤣🤣🤣na ndio sie sie wa Kwa Kuhani Mussa na Kwa Mwamposa
Utatukuta madhabahuni,jumuiyani na tupo kaunta pale viti virefu....na hamna kitu utafanya
 
🤣🤣🤣🤣Sasa utalala wapi babu Hadi unaga kabisa?
Kama una Sebule nitalala hapo hapo, si Kwa Mjukuu wangu🤗

Iwapo mna ratiba na Mwanangu kutafuta Wajukuu utawasha Sabufa 🤪🏃🏃
 
Kama una Sebule nitalala hapo hapo, si Kwa Mjukuu wangu🤗

Iwapo mna ratiba na Mwanangu kutafuta Wajukuu utawasha Sabufa 🤪🏃🏃
Mmh babu we utarudi tu nyumbani ukimaliza kunywa supu na wine
 
Back
Top Bottom