Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ni tatizo haswa mwanamke kuwa mjuaji😃😃😃Hapo ndo kabisaa unakatwa maini
Kwa mila zetu hizi mwanamke akijua kila kitu na penyewe ni shida tulishakalilishwa mwanaume ni kichwa mwanamke anafata
Sasa kama yupo humu... na unapingana na mambo ya usawaa utaona ndoa chungu