Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
๐๐๐๐Kumbe chugga wa hovyo hivyo mwenewachu ekayeeeAah mazeeh hpn sio kwel au na ww nd wale vijana wa hovyo wa Chugga!?
Sio bure hcho ni kimasai au kinyakyusa kbsa๐๐๐๐๐Kumbe chugga wa hovyo hivyo mwenewachu ekayeee
Kawa Yesu sasa mpk wampe msalaba wake abebe๐๐Huku wakikufahamu utajuta Kila mzigo wa misumari utabeba๐๐
Umechapia mzee bado hujasema๐๐Sio bure hcho ni kimasai au kinyakyusa kbsa๐
Hatari sana, sema nini...ukiamua kula maisha wala usiogope sana. Waja hawaachi kusema wanavyotaka๐คฃ๐๐Huku wakikufahamu utajuta Kila mzigo wa misumari utabeba๐๐
Mbn Mimi cjaona up uhondo zaidi ya makelele ๐ฅบMimi mtu ambaye hatumii Jf naona kama anakosa uhondoo
Huzioni we kugombania na wadada mivutano hii sio haki๐๐Ungekua unaona kelele ungekua ushaleft๐
Umeshndaa mkuu๐๐Umechapia mzee bado hujasema๐๐
Hahha kwakweli Kila mtu Aishi apendavyo tu watu hawaishiwi hojaHatari sana, sema nini...ukiamua kula maisha wala usiogope sana. Waja hawaachi kusema wanavyotaka๐คฃ
๐๐๐Umenyosha mikono kabisa tuendelee kufurahia JFUmeshndaa mkuu๐๐
๐๐๐Tutatoboa tuHahha kwakweli Kila mtu Aishi apendavyo tu watu hawaishiwi hoja
Mwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
๐๐Watu wakiamua laoKawa Yesu sasa mpk wampe msalaba wake abebe
๐๐๐๐Heneho bhabwire bhabwireMwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.
Ana account FB lakini ana rafiki mmoja tu, likewise insta hana friends. Yeye kazi yake kufuatilia page kadhaa tu basi.
Sasa huenda kuna point; nyie wanawake ambao mnasigana mitandaoni mfano jukwaa la siasa unabishana asubuhi hadi jioni inafaa mjitafakari
Duh kila mtu na Maisha yake kumfuatilia mtu huu ni ugonjwa wa akili ๐๐๐Watu wakiamua lao
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwa hiyo na wewe unamwamini?work up!Mwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.
Ana account FB lakini ana rafiki mmoja tu, likewise insta hana friends. Yeye kazi yake kufuatilia page kadhaa tu basi.
Sasa huenda kuna point; nyie wanawake ambao mnasigana mitandaoni mfano jukwaa la siasa unabishana asubuhi hadi jioni inafaa mjitafakari
Namjua zaidi ya udhaniavyo, wala sihitaji wakeup alert za jf๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwa hiyo na wewe unamwamini?work up!