Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
😂😂😂😂Kumbe chugga wa hovyo hivyo mwenewachu ekayeeeAah mazeeh hpn sio kwel au na ww nd wale vijana wa hovyo wa Chugga!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Kumbe chugga wa hovyo hivyo mwenewachu ekayeeeAah mazeeh hpn sio kwel au na ww nd wale vijana wa hovyo wa Chugga!?
Sio bure hcho ni kimasai au kinyakyusa kbsa🙌😂😂😂😂Kumbe chugga wa hovyo hivyo mwenewachu ekayeee
Kawa Yesu sasa mpk wampe msalaba wake abebe😄😄Huku wakikufahamu utajuta Kila mzigo wa misumari utabeba😄😄
Umechapia mzee bado hujasema😂😂Sio bure hcho ni kimasai au kinyakyusa kbsa🙌
Hatari sana, sema nini...ukiamua kula maisha wala usiogope sana. Waja hawaachi kusema wanavyotaka🤣😄😄Huku wakikufahamu utajuta Kila mzigo wa misumari utabeba😄😄
Mbn Mimi cjaona up uhondo zaidi ya makelele 🥺Mimi mtu ambaye hatumii Jf naona kama anakosa uhondoo
Huzioni we kugombania na wadada mivutano hii sio haki😂😂Ungekua unaona kelele ungekua ushaleft😂
Umeshndaa mkuu🙌😁Umechapia mzee bado hujasema😂😂
Hahha kwakweli Kila mtu Aishi apendavyo tu watu hawaishiwi hojaHatari sana, sema nini...ukiamua kula maisha wala usiogope sana. Waja hawaachi kusema wanavyotaka🤣
😂😂😂Umenyosha mikono kabisa tuendelee kufurahia JFUmeshndaa mkuu🙌😁
😂😂😂Tutatoboa tuHahha kwakweli Kila mtu Aishi apendavyo tu watu hawaishiwi hoja
Mwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.mimi sio wife material, maana mke wa mtu hawezi kuwa member wa JF.
😄😄Watu wakiamua laoKawa Yesu sasa mpk wampe msalaba wake abebe
😂😂😂😂Heneho bhabwire bhabwireMwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.
Ana account FB lakini ana rafiki mmoja tu, likewise insta hana friends. Yeye kazi yake kufuatilia page kadhaa tu basi.
Sasa huenda kuna point; nyie wanawake ambao mnasigana mitandaoni mfano jukwaa la siasa unabishana asubuhi hadi jioni inafaa mjitafakari
Duh kila mtu na Maisha yake kumfuatilia mtu huu ni ugonjwa wa akili 😂😄😄Watu wakiamua lao
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo na wewe unamwamini?work up!Mwaka wa 9 huu kwenye ndoa, mke wangu anajua kuna kitu kinaitwa Jamii Forums (hajui kifupi chake) lakini hajawahi hata kujua ili ufike huko jamii forums unapita wapi.
Ana account FB lakini ana rafiki mmoja tu, likewise insta hana friends. Yeye kazi yake kufuatilia page kadhaa tu basi.
Sasa huenda kuna point; nyie wanawake ambao mnasigana mitandaoni mfano jukwaa la siasa unabishana asubuhi hadi jioni inafaa mjitafakari
Namjua zaidi ya udhaniavyo, wala sihitaji wakeup alert za jf🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo na wewe unamwamini?work up!